HISTORIA ya WACHAGA ikiandikwa na MCHAGA ni rahisi kuruka kugusia KIPENGELE MUHIMU katika historia YA WACHAGA cha kuwa inasemekana WACHAGA ni wezi AISEEE!:--(
>> Wednesday, September 15, 2010
[Tahadhari: Mie MPARE ingawa nusu MJITA kwa hiyo kama wewe MCHAGA unajua nakwalifai bado katika taaluma ya kujua WACHAGA wezi na WAPARE wala si BAHIRI!:-)]
NDIO,...
.....kwa kawaida ,...
....HISTORIA huandikwa na MSHINDI kwa namna atakavyo ikumbukwe na kama katika kushinda vita bado CHIFU WAO alibakwa kipengele hicho kwa mshindi aliye shinda anaweza kwa makusudi AKAKIRUKA.:-(Kwa hiyo historia hata ya UKRISTO iliyoandikwa na MKRISTO hata yule asiyedanganya kirahisi kwa kuwa ANAOGOPA kutenda DHAMBI YA UONGO kwa kawaida,...
.... inaweza kuruka baadhi ya mambo ambayo labda historia hiyo YA UKRISTO angeiandika MUISLAMU isinge YARUKA - ingawa MKRISTO aliyeiandika historia kwa mkao wa KIKRISTO atakuambia wala hakudanganya kitu kwa kuwa KUTOSEMA KITU sio KUDANGANYA na alichofanya ni baadhi tu ya vipengele tu KUVIRUKA.:-(
Swali:
- Si unakumbuka uwezekano ambao kuna watu wasioufikiria wakuwa YESU hakuwa MKRISTO?
Ndio...
... HISTORIA ya Simon Kitururu ikiandikwa na HOUSE GIRL wao aliyefukuzwa kazi inaweza kutofautiana kidogo na historia hiyo ikiandikwa na Mama yake Simon Kitururu ambaye anasababu zake za kutaka Simon Kitururu ajulikane zaidi kwa mambo fulani ambayo hayataharibu uwezo wake wa angalau kuopoa bomba la demu MZURI .:-(
NAENDELEA kuwaza.....:-(
Ndani ya wakati huo hebu ZIGGY MARLEY arudie mdinyo-True to MYSELF
ZIGGY MARLEY arudie -Conscious Party
Au tu ZIGGY MARLEY na The MELODY MAKERS waongelee tu ya -Small People
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment