Nawasiwasi na UNDANI wa sifa MTU apewazo kama zile za ``JAMAA linapenda SANA WANAWAKE!``:-(
>> Tuesday, September 21, 2010
Kunasifa zinazopotosha ukweli wa JAMBO,....
..... ndio maana kuna KIDUME apendaye sana matumizi ya uke wa MWANAMKE,....
.....awezaye kupata sifa kuwa anapenda sana WANAWAKE,...
...kitu ambacho SI KWELI kwa kuwa ukimchunguza HUYO KIDUME kwa UNDANI ,...
Swali:
- Si inajulikana kuwa kunatofauti ya mwanaume KUPENDA NGONO na MWANAUME kupenda MWANAMKE?
Ndio,....
.... hata ubishe bado kuna uwezekano hata wadaio WANAPENDA mpira wa MIGUU SANA labda wapendacho ni zile tu hisia mchezo huo uwapandishazo ,...... na kama hisia hizo wandelizipata kwa kushangilia mashindano ya MBIO za mbuzi wangekuwa washabiki sana tu wa MBUZI na ungesikia wanasifa wanapenda sana MBUZI na zio hisia mbuzi wazipandishazo jazba.:-(
Ni moja ya wazo tu hili DUNIANI na unaruhusiwa kuendelea KUNUNA kama bado umenuna!:-(
Moja kwa moja turudi Trinidad kukutana na Machel Montano wakati bado kinda akishuka-Too YOUNG to SOCA
Au tu tumdake tena Machel Montano wakati bado kinda katika ndude nyingine-School Days
Tukutane na Machel Montano wakati mkubwa afundishe -What is SOCA music
Au tu Machel Montano, HD na Collie buddz wadunge-FLY AWAY
1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Na wenye chogondingo huona kuwa chogo lao limekaa bomba la kupumulia harufu za manukato ya kukatia ulimi kwa shoka la mama jeni.....
sasa wakati mama maria anajua kuwa baba sarafina ni bonge mtaalamu wa kukata viuno kwenye sindimba kama sindibadi lakini wakimdeku wanafikiria hata kunao majambozi ya kupakana jasho na 'poleeeee''' za kughushi ni raha za bonge la ujiko unalijua ligambusa... nawaza mkuu
Post a Comment