Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

SI lazima WAJANJA wanamjua MTUNDU!:-(

>> Thursday, September 09, 2010

Na kama MTU ni MTUNDU,...
... kuna uwezekano utundu wake ukafanya asitulie vizuri ili KUSTUKIA ni nani MJANJA.:-(



Na kwa ujanja wa MTUNDU,...
.... kunaweza kusababishe MTU abakie mjinga kwa kuwa tu anadhania ni UJANJA kuficha KUTOJUA kijanja.:-(

Swali:

  • Unabisha?
NI WAZO TU HILI Kingunge na nakutakia SIKU NJEMA kwa mapana na marefu!:-(

Hebu CRAZY abadili kwa ngoma ya enzi hizo - In  time  to come




Au tu Eddy Grant anyuke-Hello Africa






Kwa mara nyingine asanteni WADAU wote DUNIANI kote ambao tuko pamoja KINAMNA hii au ILE,...
.....mkiwemo PIA wadau mliopo katika michoro YANGU  ifuatayo mchanganyiko niliyoidaka juzi ya janayake....


1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

chib 9:38 am  

Ni kweli mtakatifu. Ukijifanya kuficha ujinga wako, yaani kitu usichokijua kwa kujiona wewe ni mjanja na mjuaji, ukiogopa kuipunguza CV yako katika jamii ya uelewa, badala ya kuwa mjanja unakuwa mjinga au hata mpumbavu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP