Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hebu tumsikilize tena NYERERE....

>> Monday, September 20, 2010Au hebu tuwasikilize wengine wanazungumza nini......
Au tu tuendelee na wengine....

NI HILO tu KIJEBA!

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 10:29 am  

Mimi wakati mwingine nawaza, kwanini siasa haipimwi kama sayansi, na mara nyingi midomo ndio yenye nuru kwenye siasa zaidi ya mikono ambayo ndio mtendaji mkuu?
Labda kwa vile wengi wetu tunathamini mdomo kuliko mkono, hebu jiulize ukatwe mkono au mdomo utachagua nini? Ndivyo ilivyo kwenye siasa, mdomo una nuru kuliko mkono...
Wengi wataimba, ukabila, udini unini hatuutaki, hebu jaribu kupekua moyo wake, kweli kauli yake ni dhahiri...utajitahidi tu, lakini mmmmh, `chetu kipo pale pale..' wenzetu wapo pale pale...' swali kwanini tukikwazika tutahitaji kikao cha dharura, tukatete pembeni...`umimi' na sisi inatekenya!
labda ni hayo tu mkuu

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP