Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tekenya mawazo na VIJANA FM.

>> Tuesday, September 28, 2010

Au ngojea  Rugarabamu aongelee KIUMADHUBUTI  ishu ifuatavyo:

Tumejenga chombo cha habari ambacho kitakuwa ni jukwaa la vijana kushiriki, kubadilishana na kujenga mawazo kwa ajili ya maendeleo endelevu Tanzania.

Changia mawazo yako hapa:


Nawasilisha tu miye Mtakatifu Simon Kitururu KATIKA HILI na sihusiki na hiyo ndude HAPO JUU ambayo nauhakika ni  bomba sana  MWAYEGO.:-(

Hebu katika kuendeleza nanihii yenye hali ya hewa tofauti hapa kijiweni  NGUZA VIKING na Papi Kocha warudie mkuno -SEAAu tu MANU DIBANGO alainishe zaidi kwa ndude -WOATUKO PAMOJA MHESHIMIWA!:-(

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:56 pm  

Ahsante kwa kutuhabarisha Kaka Simon:-)

emu-three 4:00 pm  

Njema na imekaa vyema, lakini jana nikasikia kizungumkuti eti vimefungwa kwa ajili ya kuogopa gharama za uchaguzi kuwa wizara haitaweza kubeba gharama za uchaguzi na kupiga kura...hivi ni kweli au ni masikio yangu tu...
Na je wanachuo hii mumeipokea vipi?

Adela Dally Kavishe 9:26 pm  

tuko pamoja Simon

EDNA 2:34 pm  

Pamoja tunawakilisha mtakatifu.

SIMON KITURURU 6:11 pm  

@Emu-three: Mmmh!
@Emu+ Adela+Edna + Yasinta: Asanteni wote kwa kutontenga na kunitembelea hapa kijiweni! Tuko Pamoja!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP