Aongeaye KIPARE kwa sauti ya KISUKUMA anaweza kustukiwa na WAPARE kuwa anaongea KIPARE kwa sauti ya KISUKUMA.:-(
>> Sunday, September 26, 2010
Lakini ni KWELI pia,...
.... MPARE anaweza tu kuwa na SAUTI YA KISUKUMA katika kuongea pia.:-(
Swali:
- Kwani unadhani MLOKOLE hawezi kuongea KIHUNI?
- Na siunakumbuka kuwa AONGEAYE KISWAHILI kwa sauti ya KICHAGA bado aongeacho ni KISWAHILI?
NDIO,...
..HILI NI WAZO TU MKUU wa KITONGOJI!:-(
Hebu tumsikilize NDALA KASHEBA , King KIKII na wengine....wanaongea nini katika ndude-NI KWELI
Ndala KASHEBA alete-Yellow CARD
Au tu tudake Mpenzi Luta kutoka kwa Mutombo Audax na Maquis Original Zembwela
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
kipare :-) mimi nilidhani aongeaye kipare sauti ya kifini:-)))))
Hahaha, `aongeaye Kipare'...mmmh, lafudhi itamshitaki, lakini sio wote waongeao kilungha ambacho sio chao wanaweza kushitukia.
Mhhh, ni heri yao wao wanaigiza katika mantiki ya kuigiza, lakini wenzetu na sie, waigiza majukwaani wakinadi lile lilowashinda juzi na jana, lakini bado wanajitahidi kuongeza `msamiati' mgumu, ili waonekane Wasukuma, wakati ni Wapare...mmmh.
Ni hayo tu Mkuu
Post a Comment