Katika siasa za TANZANIA ZA UCHAGUZI mtu akisema-``FUCK Wapinzani´´!:-(
>> Saturday, September 25, 2010
....ukisema WAPINZANI ni SHENZI,...
.... labda HUJAGUNDUA kila upande aliopo MTU kama kuna zaidi ya PANDE moja,...
... basi HUO ni upande wa UPINZANI.:-(
... basi HUO ni upande wa UPINZANI.:-(
Swali
- Tukitumia mfano wa mlango wa choo na shughuli ikiwa ni mlango ubaki wazi - SI UNAJUA Auvutae HUKU na ausukumae KULE hata kama wahusika misuli yao haifanani wote wanapingana NA NI WAPINZANI katika msukumo , na ukiwauliza malaya zao watathibitisha kuwa wao ni WAPINZANI kisa mmoja anataka afunge MLANGO wa CHOO na mwingine anataka afungue mlango wa MSALANI?
Ndio ,...
...kwa kawaida kuna kitu cha tatu kama ANGALAU KUNA hata wawili waongeleao UPINZANI,..
... ingawa WAWILI huwa wanatosha katika kupingana kitu kisababishazho kuzaliwa au kusababisha kuwe na kitu UPINZANI.:-(
SWALI:
- AU?
.... na inategemea tu na tafsiri ya wahusika katika MHUSIKA kujisikia NI MPINZANI .:-(
Na ingawa kuna wadaio MPINZANI ni atakaye kunyoa kitu AU KUNG'OA KITU,...
... lakini ukichunguza na kufikiria VIZURI unaweza kukubaliana hata KWA WASIWASI NA MIMI kuwa afikiriaye anang'oa kitu hata akifanikiwa kung'oa labda naye tutakuwa TU tuna ushahidi ninini kang'olewa eneo anuai wakati anafikiria KANG'OA.:-(Moja kwa moja PETER TOSH aunganishe-Johnny BE GOOD
Peter TOSH na MICK JAGGER walete-Walk AND dont look BACK
DENNIS BROWN adunge-Revolution
DENNIS BROWN adinye-Land of PROMISE
ASWAD wakite kitu orijino ambacho mpaka akina DENNIS BROWN walikopi BITI katika -DUB FIRE
AU tu ALICIA KEYS ajaribu na DAMIAN MARLEY katika- WELCOME TO JAM ROCK
Au tu BOB MARLEY amalizie na kitu bomba kiitwacho-LIVELY UP URSELF
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment