Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati unauhakika unaonja kwa MARINGO,...

>> Saturday, September 04, 2010



.....LABDA....



....kumbuka tu kuwa UMUONJAYE labda hajisikii kuwa anaonjwa ,...

.... na sentensi zake  zenye tako kubwa KWA MASHOGA ZAKE/marafiki zake kwa fundi viatu , ni kwamba ANAKUONJA WEYE ,...



.....na HALAFU ADAIVYO  katika muonjo NI KWAMBA wala weye sio MTAMU na eneo LAKE ANUAI  wala  hulifikii vizuri KIMKUNO KWA MARINGO YAKO YA MSHOBODO  hata kwa kusimamia visigino,...


....na KWA HILO  kwa  kifupi wala katika ANUAI HUJAWAHI kumsikilizisha KI-PAPA JOHN PAULO utamu......



.....a.k.a kwa ludha nyepesi WEWE  hujawahi KUONJA,...

....na wakati ULIVYOKUWA UNAFIKIRI   UNAONJA  ulikuwa  hata KWA  kigagagigikoko UNAONJWA.:-(

Swali:
  • Hivi unauhakika ni kwanini  kuna AAMINIYE anaonja WAKATI hata afanyacho kivitendo kwa GUNZI labda ni KITENDO tu cha  kugusisha tu liulimi lake kwenye GUNZI bila kufikiri labda KITENDO HICHO KWA GUNZI wakati huo na gunzi  NALO LIFANYACHO katika TENDO  ni KUGUSA  na katika hilo nalo lina onja na sio KUONJWA?
  • Si unajua labda si kweli kuwa kunakitu KUONJANA hata kama kaika kuonja hata maumivu ni muonjo?
Ni wazo tu hili ANUAI  MKURUGENZI na  LITEMEE MATE basi MHESHIMIWA kama halishikilii kibindo kiheshima.:-(

Hebu Gregory Isaacs ambaye kanituliza laivu juzi ya jana arudie mkuno-Stranger in TOWN



Gregory Isaacs adinye-Good Morning





Au tu Busta Rhymes abadili kwa sindimba-Woo Haa

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP