Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Nawatakieni EID MUBARAK wadau WOTE bila ubaguzi - ninyi wenye JUHUDI na pia enyi WAZEMBE!

>> Friday, September 10, 2010EID MUBARAK!


Swali:
  • Sasa mfungo umeisha,- DHAMBI  za makusudi za mchana tuanze leo au kesho?
  • Si unakumbuka katika kila sherehe kuna wasiofurahia sherehe ili washerehekeao WASHEREHEKE?


USIKONDE mkuu  hasa kama wewe sio mpishi  leo,...
... kwa kuwa katika kila sherehe kumbuka kuna atokwaye jasho kwa KUPIKIA WENGINE  na pia kuna ajiandaaye kusugua masufuria  UBWABWA ukiisha wakati hapendi kazi ya KUSAFISHA VYOMBO.:-(NI WAZO TU MOJAWAPO ndani ya KUWATAKIA NINYI NYOTE kheri ya EID MUBARAK kwa mapana na MAREFU!


Katika basi.....Au tu TONY TUFF ani MIX me  DOWN

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP