Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Msichana MASHARUBU!:-(

>> Saturday, September 04, 2010

Tahadhari : Taralila hii inacheza katika uwezekano ``LABDA´´:-(

Msichana ni MASHARUBU,...
... na kama UNABISHA labda DEKU  na labda utastukia ukideku MSICHANA kama tu MASHARUBU,...
.... ukinyoa KURUDI TENA yatathubutu.:-(


Msichana ni UMBEYA;...
... na hata kama umebarikiwa kutokutana na ya MSICHANA anong'onezayo MWENZIYE USIYOYASIKIA  hata yasiyo hitaji MNONG'ONO,...

....labda anong'onezwaye  KISICHOISHA usishangaye akikubaliana NAMI  kuwa kilikuwa ni UMBEYA alichobaniwa pua kwa siri hata kama hakikutoka MBEYA.:-(


Msichana ni KIBURUDISHO,...
.... kama wabisha onja au uliza ambao  hata mke wa MCHUNGAJI au SHEKHE  akiinama  akiinuka jamaa liliokota kidude hata kama sio kwa YOTEYOTE  ila  bila MSHURUTISHO.:-(



Msichana ni SUMU,...
.... na ntakuelewa ukibisha  HASA kama kwako NENO kama tu MSHEBEDUO  wa WAKATI UNATAKA  kwa juhudi UDENGULIWE  kirahisi  anapewa MWENZIO HATA ASIYE NA HAMU na  kwako  HIYO KATIKA UTAMU sio SUMU.:-(

Msichana ni ADHABU,...
....na hata kama utabisha  LABDA kuna siku utanielewa HASA IKITOKEA SIKU hasa  kinuka mkojo uliyemchoka  kumtamani akupe nafasi ya kiutu uzima umchomeke KATIKA kutibu HAMU akistukia labda hutaki tena  kukuna mbilimbi na kwa hilo ANAHAKIKISHA unachezea sendema na ukibisha KIUANAUME ni dharau na kwa hilo anahakikisha unakwarua wanzabanga mpaka unashika ADABU.:-(




Swali:

  • AU?
Na labda MSICHANA ni MVULANA,...


.... kama katika YOTE  ni UTU katika kipimo cha MTU ndio kinachotumika na sio  kwa kuwa MHUSIKA ana KITOBO badala ya KIJITI  katika anachotumia katika kufanya DHAMBI ya asili kwa maringo akilalana hata bila mwingine MTU kitandani,...


....huku anajua kunadini SHEKHE wake akijua kitendo hicho cha kujitia starehe peke yake  LABDA chaweza kumpa  maulana mheshimiwa LAANA.:-(


MSICHANA!:-(


NIMEACHA wazo ingawa naendelea kumuwaza huyu KIUMBE  MSICHANA ambaye kila siku hakosi kunishangaza kwa kitu ambacho mara kibao  KWANGU wala sio MURUA!:-(

Swali:
  • Kama wewe ni msichana  MKUBWA, unafikiri msichana ni rahisi kueleweka,  na hapa wala siongelei akiwa ndani ya siku au hata kabla ya siku hajaingia kwenye siku zake kabambe ?

Narudia MHESHIMIWA kuwa hili NI WAZO tu hili MHESHIMIWA na unaweza kulitemea mate POO kama limeingia mnato!:-(

Hebu Samba Mapangala alainishe kwa  kijiti-Muniache



Samba Mapangala aonye watongozao wake za watu kwa kitimoto-Dunia tuna pita





Samba anyuke hii kitu roho inapenda iitwayo-Malako DISCO




Au tu Samba Mapangala apige konzi katika kumalizia NDUDE kwa-Nyama CHOMA

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP