Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

SOMO- kama unafuatilia YANAYOMKUTA Mtukufu Rais BARRACK OBAMA baada ya ahadi nyingi!

>> Monday, September 27, 2010

Kusema ni rahisi  zaidi kuliko KUTENDA ndivyo  isemekanavyo,....
.... hata kama kuna wabishao kwa kudai kuwa   KUTONGOZA KWA MSENGE  MPYA ambako ni KUONGEA  ahadi za unajisi aka KUSEMA kitu kwa limtu asilolijua vizuri  KUWA kitundu cha tako kinahitajiwa  ,....
....ni kugumu zaidi  kuliko kwa msenge KULAWITI mtu ASIYEMJUA ambacho ni kitendo hata kama ni CHA KISENGE  katika kuhitimishwa KITENDO   kimyakimya.:-(
Swali:
  • Si unajua Rais OBAMA sio maarufu sana kama alivyokuwa katika KAMPENI au tu mwanzoni mwa URAIS wake MAREKANI?

  • Si unajua aliyokuwa akiahidi Rais OBAMA katika KAMPENI  yangekuwa yanatendeka kirahisi MAREKANI ingekuwa bomba sana tu au angalau ingekuwa inawashinda WACHINA katika ukuaji kiuchumi?
  • Si unajua GEREZA la GUANTANAMO bado lipo?


Ndio,...
...kuahidi ni RAHISI kwa kuwa uhitajicho ni kujua tu KUSEMA,....
.... ingawa ili maswala yaote mimba labda baada ya kuongea VITENDO huhitajika.:-(
Swali:
  • AU?
Ndio,...
.... labda MAZINGIRA ya utekelezaji kwa OBAMA,...
... ni tofauti na yale yaliyomkabili  RAIS MWINYI katika kufanikisha utekelezaji,....
....ingawa LABDA twaweza kujifunza KITU siye kama WATANZANIA ambao tunakaribia UCHAGUZI kuwa,......
.... WAKATI tuko katika HOBI  ya kuichukia CCM kwa kuwa KWA kivitendo vyake WEWE na MIMI bado ni MASIKINI au bado tunakunywa soda  au angalau kula kuku  pale tukitembelewa na MGENI tu,....

... tukumbuke tu UPO UWEZEKANO kuwa HATA WAKIINGIA WAPINZANI KUENDESHA SERIKALI ambao mpaka sasa hivi tunawajua tu  zaidi katika FANI YA KUONGEA na SIO KUTENDA,...
... labda nao KIVITENDO bado watafanya UWANJA wa FISI ubakie kuwa UWANJA wa FISI ,...
.... na hilo ni kama kwa bahati nzuri haujageuzwa kuwa UWANJA WA MINYOO kwa kuwa na FISI nao WAMEKUFA.:-(


Swali :
  • SI unakumbuka hili ni  MOJA YA WAZO TU wakati huu tunaelekea katika UCHAGUZI ZE BONGO?NIMEACHA hili wazo MHESHIMIWA!:-(


MIYE  naelekea kwa JOHN KITIME kuendelea kusoma HISTORIA ya MUZIKI TANZANIA
....na nikitoka hapo ntapitia SWAHILI STREET kabla ya kuondoka mtandaoni kwa muda:-(

Tukiachana na hilo:
Hebu Trombone SHORTY  apulize tena Trombone katika -Where Y'AT
Trombone SHORTY aimbe tu tena-Somethin' Beautiful
Au tu Curtis Mayfield adunge tu-Move on UP


JUMATATU NJEMA KIKORE!

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 12:36 pm  

Kuna siku nilikuwambia mkuu kuwa ukiambiwa uchague kipi kizuri kati ya `MDOMO' au MGUU, utachagua nini?
Mdomo unapendwa bwana, na anaupenda zaidi mwenye nao, kwanini...ushahidi ndio huo
Maneno mengiii kuliko vitendo!, na hata ukishindwa vitendo, mkono utamkabidhi mdomo kujitetea, nani atashindwa kujitetea...
Gereza hilo linasubiri bunge, linasubirii mambo ya kimahakama, mmmmh mdomo hakosi la kuongea, mkono kimya, unajipiga piga au unajipitisha mdomoni ukijidai unakatwa kucha, kama mwanamwali anakubali kinamna!
Ni hayo tu mkuu

Said Michael 2:37 pm  

Ahadi alizotoa OBAMA ni sawa na ahadi tunazopewa TANZANIA kipindi hiki cha kampeni

Anonymous 9:01 pm  

jamani bw sikupata taarifa mapema nilitoka kwa muda. kupokea mgeni ni mali kweli. Karibu tena.

SIMON KITURURU 6:06 pm  

@emu-three:Duh!Unazidi kuniwazisha Mkuu!

@Mkuu Said Michael: Si utani!:-(
@Swahili Street:Asante kwa kunikaribisha lakini miye nahisi nshakuwa Mwenyeji Mkuu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP