Labda AMINI tu kama huwezi KUHAKIKISHA!
>> Thursday, February 05, 2009
Wakati unajiandaa kutotakakuhakikisha ili uamini;
Swali:
- Hivi unauhakika MUNGU sio MWANAMKE?
Na LABDA unaweza usiamini tu kabla HUJAHAKIKISHA !:-(
Swali:
- Si huamini ni kweli katika mwaka unalala karibu miezi sita ?
Na hata usipoamini,...
.... labda NDIO MAANA kuna kuamini kwa sababu ya UWEPO wa uwezo wa KUTOAMINI.
Swali:
- Unauhakika wewe ni mtu na rafiki zako sio shetani?
- Unaweza KUHAKIKISHA?
Samahani lakini kama nakukwaza NIWAZAVYO katika mtekenyo!:-(
Tulia basi na EDDY MURPHY ajaribu kumpa kauli OBAMA katika- Change is coming to AMERICA.......
Au tu BUNNY WAILER akumbushie tuta -RISE and SHINE...
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment