BADO nina wasiwasi na URAIA wa RAIS NYERERE!:-(
>> Thursday, February 12, 2009
KWA sifa  anasifiwa na RAIA,...
.....mpaka na VIONGOZI wamwitao MWALIMU.
KAMA wanafunzi-WASIFIWA  ni RAIA,....
...... wadai  ni ujanja kudai wafanya ya MWALIMU,
.....mbona .....
ya WANAFUNZI-viongozi RAIA,....
..... wafanyayo HAYAFANANI na ya MWALIMU?
Labda tatizo ni mmoja haleti URAIA,.....
......  kati ya hili mwanafunzi au yule  MWALIMU.
Kwa sababu WANAFUNZI wako hai na watajitetea URAIA,...
..... ngoja ni ridhike na wasiwasi wa URAIA wa MWALIMU.:-(
Na labda sielewi somo la  URAIA,....
......yawezekana  kufaidi nchi kiraia, yabidi  kiufisadi uwe MWALIMU.
Kwanini Haleluya ni ya wote  RAIA,....
......na AMEN yamfaidisha ambaye kwenye kitu TU ni MWALIMU?
__________________________________________________
Swali:
- Kwani ni KWELI mwalimu alipatia mpaka wanafunzi wafuate ya Mwalimu?
NAACHA UJINGA!:-(
SIKU NJEMA ,au tulia tu na yasio SIASA kama ya WYCLEF akiongelea ya msichana katika- Guantanamera
 
  
 Posts
Posts
 
 




2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Umenifanya hata nianze kuu-question pia uraia wa Yesu kwani naye wanafunzi-viongozi raia wake mwendo wao ni mbagombago (zigzag) pia.
@Profesa: Lakini WANAFUNZI- VIONGOZI raia wa Yesu ndio hao wenye nyumba na magari mazuri mpaka kwenye vijiji vya kigagagigikoko:-(Labda ni kweli raia:-(
Post a Comment