Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UTAMU WA KUONJA na govi!

>> Monday, February 02, 2009

Labda....
..... kama umekatwa ,UNAONJEA kilichokatwa.

Ukikatwa , BADO unafikiria na kuonja UTAMU kwa kisikilizacho REDIO au SIKIO kwa sikio au NANIHII iliyokatwa:-(

Na...
.... labda SI kweli ALIYEKEKETWA au kukatwa JANDO hakumbuki au kufaidi utamu ahisio au aoneao wivu GOVI.
Swali:

  • Utamu si ni HISIA?
  • Hivi neno GOVI si ni TUSI kwenye HISIA?

Labda....
....kichwa kuonja jua na kofia, BADO KICHWA kimeonja jua ,na kofia ni KIONJEA jua.

Na labda....
......Tafsiri na msisitizo wa kuonjea utamu GOVI hausikilizwi vizuri kwa sababu GOVI na UTOKO kwa USTADH , Mlokole au WEWE ni tusi.

TATIZO la kuonja bila kufikiria KIONJEO , govi linaweza kupata GONO.
Kama unasikiliza MAONO na unakumbuka KUKUMBUKA KISIKILIZIO labda:
  • Utasikia zaidi
  • Utaonja zaidi
  • Utaonjwa zaidi
  • Utalenga tusi kwa MLENGWA zaidi
  • Utasikilizia TUSI uliloTUKANWA zaidi

Na pia unaweza kugundua au kukumbuka UMUHIMU wa CHUCHU kwa TITI katika KUONJA.
Swali:
  • Si chuchu ni KIONJEO cha TITI?
  • UNAKUMBUKA kukifikiria kionjea UTAMU wakati unaonja UTAMU?


NAACHA!
Lakini onja kama huna GOVI ingawa mwenye govi anaendelea kufikiri anaonja na GOVI.
NAKUTAKIA leo mafanikio saana tu CHOONI !

Ngojea nirudie KUSEMA....

AU tu OSIBISA watukumbushe SUN SHINE DAY....

AU TU tupate Jungle Massive wakati - Bailey Drops 3 Ragga Trax 2007...

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Koero Mkundi 5:45 am  

We haya weeeeeeeeeeee!!!
Mie yangu macho!!!

Simon Kitururu 6:17 am  

@DADA KOERO: :-)

Anonymous 6:07 pm  

mkuu,hapa lazima ukune kichwa.
upeo wa kuona mbali na kuchanganua mambo.

rasta hapa.amani

MARKUS MPANGALA 7:24 pm  

Duh! mkuu hapa hakuna kuremba LAKINI vipi kile KIONJWACHO kinajisikia UTAMU gani? pengine UTAMU wa kuhisi UNANOGA kumbe kuna ukakasi wa KIONJWACHO kwa kuonjea GOVI.
Pengine kile ni mvuto wa manukato na SAMADI za asili halafu kitoacho MIGUNO ya UTAMU ni KITAMU kuliko kile KIONJEO cha UTAMU.
Lakini sijui UTAMU wenyewe HUKOLEZWA na VIUNGIO vya aina gani maana unaweza kupumua halafu unaHAMU ya kukosa hewa ili angalao ujue umuhimu wa KUTANUA KIONJEO kiwe KITAMU kuliko upawa na mwiko.

Simon Kitururu 9:18 am  

@Rasta Luihamu+ Markus: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP