Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati UNAENDELEA kupenda sehemu za SIRI za mwenzio!

>> Thursday, February 26, 2009

TATIZO ...
...... la afanyaye SIRI ni kufikiri au KUDHANIA kifikiriwacho ni siri ni kweli NI SIRI, au labda NI SIRI.

WAKATI....
.... unaficha siri, KUMBUKA unawaficha wasio na JUHUDI za kutaka kujua SIRI yako ni, NI nini, au TU unajaribu kuficha ambacho si siri kwako ili kiwe kwa wengine SIRI.

KUNAUWEZEKANO,...
... siri yako wanajua ambao HAWAJUI unafikiria kuwa HIYO ni SIRI.


LABDA,...
... siri yako si SIRI ndio maana wewe MWENYEWE umeistukia na kuipa jina SIRI au kufikiria LABDA KWELI ni SIRI.

WAKATI...
.....unaficha SEHEMU za siri , kumbuka kuwa ni ukweli asilimia kubwa YA ambao hujui sehemu zao za siri unajua WANAZAA au KUZALISHA na labda unajua watoto wao , NA si SIRI.
Swali:

  • Ukiona watoto wa MWENYE siri ,SI unajua kuna MTU anajua sehemu zake za SIRI?
  • Unauhakika una siri au hujui ajuaye yako SIRI?

Naacha!
Hebu twende tena GABON kwa Oliver N'goma katika - BANE

AU ngojea tu Will Smith azungumzie - Miami..

Photobucket


Photobucket


Photobucket


Nipo na kama upo Stockholm labda tutakutana.
Nipo kama baadhi za picha zisemavyo....

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket
Nipo na usafiri upo kama wewe sio MNENE.
Photobucket

8 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 4:24 pm  

Safari njema mkuu Simon.

amani kaka


rasta hapa.

Simon Kitururu 6:16 pm  

@Rasta: Asante Papaa Rasta!

Koero Mkundi 5:55 am  

Habari kaka Simon Mkodo Kitururu,

Pole na Barafu za huko, nakuona umependeza kwelikweli.
Nakumbuka zamani Arusha kulikuwa na Baridi kali ile mbaya lakini nashngaa tangu nimekuja huku nimekutana na joto utadhani niko Dar.

Nimepita hapa kutoa shukrani zangu za pekee kwa kunitembelea na kunifariji kwa changamoto nilizozipata hivi karibuni, tuko pamoja.
Kwa sasa niko Arusha.

Yasinta Ngonyani 11:55 am  

hej! kweli bahati mbaya sikuwepo. Nimeipigia mahasabu kweli baridi hiyo. nakuona na hizo bia basi ningejumuika nawe:)

Simon Kitururu 9:22 pm  

@Dada Koero: Tuko Pamoja Dada yangu. Nakutakia kila la kheri huko Arusha Dada Yangu.
@Dada Yasinta: Ingekuwa poa kweli tungekuwepo kikaoni pamoja:-)
Ila hii baridi wee acha tu:-(

Anonymous 12:20 am  

Wape Hi!,mpe hi Mbunge too!!

Christian Bwaya 4:27 pm  

Simon umenona ha ha haa aaaa!

Simon Kitururu 8:47 am  

@Bwaya: DUH!:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP