Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Swala la KAMA huna PAPARA usihofie TUSI!

>> Friday, February 27, 2009

Lakini,...
....LABDA KAMA HUNA papara, TUSI utukanwalo kama KWELI ni tusi na sio sifa, TUSI utukanwalo HUNUNA zaidi.

Swali:

  • BADO unamshangaa APAPARIKAYE na TUSI wakati nyuma ya tusi kuna SIFA ya mtu?


WIkienDI NJema!
Tutulie na Aaliyah- At Ur Best.


Au ngojea Inner Circle wazungumzie - Sweat

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 9:38 pm  

wikiend njema nawe pia bado upo stockholm nije kikaoni?:)

Mzee wa Changamoto 5:15 pm  

Mmhhhhh. Kweli wikiendi njema

Simon Kitururu 12:48 pm  

@Dada Yasinta:
Bado Nipo!Niliibiwa kidogo nje ya stockholm kwa muda.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP