Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LABDA BADO ni kweli kila MTU anaBUSARA kama unajua UJINGA ni NINI!

>> Thursday, January 15, 2009

Inawezekana bado kuna waaminio BINADAMU WANABUSARA ndio maana kuna wasifiao WASHINDA VITA kwa sababu kupigana VITA bado ni busara yakibinadamu katika kutatua VITA.

LABDA ni kweli...
... BUSARA ya binadamu ni BUSARA , jamii, MIMI au WEWE tukiamini au kuaminishwa BUSARA, SIO busara pia inakuwa ni BUSARA kwasababu inaitwa BUSARA.

Swali:

  • Si kuna wenye busara ya kucheka au kudharau wenye UKIMWI kwa kuwa mwenye BUSARA au YULE TU , ni kama vile anapiga VITA kuondoa staili za kupata MDUDU kwa kuwa na BUSARA?
  • Mwenye BUSARA za TISHU si anaweza kudharau MCHAMBIA maji?


Na ni KWELI,....
...Katika busara hii,.....
........aaminikaye ni jinga HASIKILIZWI na waaminio wanaakili na wanajua.
NA kwa bahati MBAYA WAAMINO wanaakili na wanajua ,WANAJIAMINI pia kuwa WANABUSARA mapaka WANA JISIKILIZA wenyewe!:-(

Katika busara HII,....
....kuna wenye BUSARA wako KIMYA ambao ndio wenye BUSARA na ambao wameaminishwa NI WAJINGA.

LAKINI....
..Nyuki mwenye busara na akili hawezi kuwa na uhakika hakukanyaga mkojo hata wa NZI katika kukusanya BUSARA ZA UTAMU WOTE WA ASALI , ingawa ni BATA na NGURUWE wenye nyama tamu wasifiwao kwa kula UCHAFU.

Swali:
  • Unakumbuka kuwa WENGI WAMLAYE MNOFU nyama ya NGURUWE , labda NGURUWE ni MTAMU?
  • Unafikiri BINADAMU MWENYE NJAA ana BUSARA ya kuchagua CHAKULA?
  • SI kuna watamanio kula UDONGO kwa nguvu ya MIMBA?

NAACHA!
Nawaza tu MKUU na nimeaacha!
Nipo lakini kama zamani ya...
Photobucket

Ninamuachia Queen Latifah azungumzie U.N.I.T.Y....


Au ngojea tu Kriss Kross waturushe na SHIDA zetu katika JUMP....

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP