Taarifa ya huzuni ya msiba wa Baby Abigail Marja!
>> Wednesday, January 14, 2009
Mungu amlaze mahali pema peponi Baby Abigail!
Habari zaidi....
Wapendwa,
Nawaletea hii message naomba muiforward kwa watu wa Helsinki, sina email za wengi wao. Mtoto mpendwa wa Calister Kagali, baby Abigail Marja ametutoka siku ya Jumatano 7.1.2009. Kila atakayepata taarifa hii naomba asaidie kuwajulisha wengine. Mipango ya mazishi inaendelea Tampere.
Harieth Nyika
Habari zaidi.....
SALAAM,
DEVELOPMENTS YA MIPANGO YA MAZISHI TAMPERE 24.JANUARI 2009
WASALAAM
Ephata Sozigwa,
F I N L A N D.
Tel: +358 41 544 874 5
&+358 40 375 508 02
Wapendwa ndugu na marafiki,
Tumepata confirmation ya mazishi kuwa ni Jumamosi 24.1.2009, Laminpää cemetery, halafu Hatanpää seurakuntatalo. Nimemisplace street addresses, nitazituma kwenye message zijazo. Tumeruhusiwa kutumia seurakuntatalo kuanzia saa sita mchana. Kulikuwa na suggestions kuwa watu wanaweza kukutanika pale before kwenda makaburini, then waondoke kwa pamoja kuelekea huko. Hii inaweza kuangaliwa tungependa maoni yenu tufanyeje.
Watu wa Tampere tutashughulikia chakula (main dish) kama wali, pilau, salads, kuku n.k, hii pia tunaomba michango ya mawazo. Watu wanaokuja kutoka Helsinki na sehemu zingine tumewaomba washughulikie dry stuff kama chapati, maandazi, sambusa etc, ambavyo vinaweza kubebwa kirahisi safarini. Naomba mawazo zaidi kwa hili pia.
Tunataka kuweka order ya nyama Vammala, naomba volunteers wa kwenda kuichukua huko maybe by Thursday 22.1.2009.
Kuna issue ya maua (mashada/wreaths) inabidi tuweke order mapema. Bei inakuwa nafuu tukiweka order ya pamoja, kuliko kila mmoja akiweka separate order. Naomba ushauri wa haraka, kwa kuwa ni lazima tuweke order ya muda mrefu kuyatengeneza. Yawe mangapi? Kuna wanotaka kutoa mashada yao binafsi ama yatolewa kwa kijumla mfano watu wa Tampere shada moja? Watu wa Helsinki mtaleta mashada kutoka huko ama yanunuliwe Tampere myakute mkifika? Hili tunaomba quick response nadhani lazima tubook by Wednesday this week (14.1.2009)
Kulikuwa na suggestion ya kuwa na T-Shirts nyeupe kwa wote, lakini imeshindikana kupata picha nzuri ya kuweka kwenye hizo T-Shirts. Kwa hiyo so far dress code ni black and white, suala la T-Shirts kama kuna mwenye suggestions zozote naomba achangie mapema ili ikiwezekana hizo T-Shirts zishughulikiwe huko Tanzania kabla wenzetu hawajarudi waje nazo. Zikipatikana zitauzwa kwa bei nafuu iwe kama sare ya watu wote kuwa nayo.
Anahitajika Master of Ceremony, aliye fluent in Finnish, English na Swahili. Suggestions please.
Mbarikiwe sana.
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment