Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Starehe ya KUJISIKIA NAFUU ukiungwa MKONO!

>> Tuesday, January 27, 2009

KUBISHIWA nishai kama hujui!

Kubishiwa kwaweza kukujulisha kuwa ni kweli unajua .

Kama hujui...

Unaweza ukabisha ili ujulishwe usichojua.
Unaweza pia ukabisha na kuachwa hujui!:-(

Kuna wajuao wasiojua kujieleza NIKIBISHA wananiacha nifikirie hawajui.

Lakini.....
Pamoja na UBISHI, mwenzio sijui!
Nikikuunga mkono, kumbuka labda ni kwa sababu SIJUI!:-(

Swali:

  • Wewe unajua?
  • Wajuao hujisikia pia nafuu wakiungwa MGUU?

SIKU NJEMA!


Ngojea Malcom X aseme : Who Taught You To Hate Yourself?


AU mwanafunzi wa Malcom X ambaye baadhi wanamlaumu kwa mauaji ya Malcom X kwa jina Farrakhan aseme katika Charges of anti-Semitism ....


Au tu THE ARCHIES wabadili hali ya hewa kwa kusema- Sugar Sugar...

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP