Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UNAUHAKIKA kwanini UKO MTANDAONI kwenye kurasa za AJABU au za busara SASA HIVI au SASA ya BAADAYE?

>> Sunday, January 25, 2009

Unauhakika una marafiki wakutosha watoshelezao NANIHII au kona zote za NANIHII na AMBAO ukitaka unaweza HATA kuwagusa au kucheza UNGEDERE au UTUMBILI na kuwakagua CHAWA ukitumia vidole au NANIHII?

Labda...
... wenye marafiki sasa hivi ambapo wewe na mimi tuko MTANDAONI ni wale wamaliziao kutengeneza mtoto au BADO wanacheza KIKUBWA au KITOTO.
Swali:

  • Unafikiri ni kwanini katika mambo yote BIN-ADAMU awezayo kufanya sasa hivi MIMI , WEWE au YULE labda bado tuko MTANDAONI na LABDA si kikazi na SI kikuwa na MArafiKI?
  • Hivi wewe unahitaji marafiki kila wakati?
NAACHA!

Hebu Homer Simpson alainishe kwa msaada wa Sisqo katika kusifia tena chupi....


Au tu Barrington Levy asifie UA ROZI BUSTANINI kama unaamini anaongelea UA katika -Black Rose....

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP