Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Matunda ya MSICHANA kufanana na BABA na MAFRUTI ya MVULANA aliyefanana na MAMA!

>> Saturday, January 31, 2009

Msichana asemekanaye kufanana na BABA yake na si MAMA, labda ni yule aliyekaa KIJIKEJIKE!

Mvulana asemekanaye kufanana na MAMA yake kuliko BABA , labda ni yule aliyekaa KIDUMEDUME!

Swali:

  • SI inawezekana MSICHANA anafanana na BABA aliyefanana na MAMA yake ndio maana KISURA, na MVULANA anafanana na MAMA kwa sababu kanyoa ndevu?
  • AU?

Mvulana aliyefanana na mama labda ni yule wasichana wanajisahau na kumwita SHOGA wakati wanataka kujua kama chupi imekaa vizuri KATIKA MUONEKANO au pindo za KINING'INIO hazichori ramani za vichochoro juu ya kibwaya au suruali ya PEKOSI iliyobana MAKALIO.

Msichana aliyefanana na BABA labda ni yule WANAUME wanasahau kuwa anafaa katika shughuli za faragha au MCHEZO zilaumiwazo nyumbani kwa akina ZUBEDA kwa kusababisha ZUBEDA ANA mimba.


Swali:
  • Hivi si katika jamii ni ujanja kufumbia macho wasagaji wasiovutiwa kukoboa kama tu mabasha wasiokubali wafanyacho ni usenge?
  • Si unakumbuka kuna VISURA huvutiwa na VISURA na VIJEBA wavutiwao na VIJEBA katika shughuli za NANIHII?


Lakini tatizo la KUFANANISHA linaletwa na KUFANANA tu,
....Ingawa,...
................wakati unafananisha unaweza ukachochea KUSHINDANISHA wafananishwa.


Wakati ukweli ni kwamba,...
... KAMA wewe ni BINADAMU lazima kwa namna fulani unafanana na MTU,
.....na labda ni kweli ....
.... wewe ni binadamu na unafanana na BABA NA MAMA ambao ni BINADAMU kama hupendi jina, WATU .

Na....
...UKIKOSEA na kudhani MVULANA ni MSICHANA, labda kuna mvulana unamfurahisha atambuaye UHENDISAMU ni kuonekana kama mwanamke kama tu yule msichana ajisifiaye kwa kuitwa dume jike kutokana na kujua VIJEBA wanajua kuwa wakiingia kichwakichwa DOZI ya KIPIGO watapata na kujisikia kama wamevalishwa gauni AMBALO sio kama la PADRE, bali kama la MWANASESERE aliyechezewa tayari na hana KICHWA.

Swali:
  • SI kuna wavulana wanaosahau hata mwanamke aonekanaye laini anaweza kuruka KICHWA?
  • Unamkumbuka mtoto mzuri kama msichana wa Kizungu kwa jina la Michael Jackson?
  • Hivi kuna mwiko wa DUME ZIMA kuitwa ZURI na DUME?

NAACHA wazo!
SAMAHANI kwa WAZO lakini!
BAADAYE!
Tutulie na DerrickCOMEDY katika NATIONAL SPELLING BEE[ Tahadhari :lugha si nzuri kwa mtu mweusi na anayependa sehemusehemu za watu wa jinsia moja katika NANIHII:-(]


Nakuacha na MANU CHAO katika - Bongo Bong




Au tu Tevin Campbell alete tena ukubwa katika-Break it Down( Tahadhari:wimbo wa kikubwa kama msikilizaji wa neno)

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Koero Mkundi 7:09 am  

DUH!!!!!!!!!

Simon Kitururu 7:50 am  

@DADA Koero: DUH!:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP