Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LABDA ni kweli , KINYESI cha JICHO ni TONGOTONGO!

>> Saturday, January 17, 2009

Inawezekana kutoa MACHOZI si KULIA!
Na...
....MABAKIbaki ya UDENDA wa pua ni MAKAMASI, ingawa SIUMWI na HUUMWI mafua.

JICHO lionalo LIKIOGA, labda ni kweli UCHAFU ni TONGOTONGO.
Swali:

  • Ukiogesha MWILI unafikiri ni lazima uliondoa TONGOTONGO?
Naacha!
Na...
.......Usipo nielewa na maanisha nini, LABDA haieleweki au NINA au UNA tongotongo katika MKAO au mbinuko!:-(

Lakini....
.......USIJITAHIDI kuelewa UJINGA usije ukaelewa zaidi BUREEE,...
----INGAWA,....
...................Ajuaye UJINGA anaweza kuwa MJINGA kama haelewi nini ni UJINGA au ujuaji wa jicho kwa kuona mpaka likatoa TONGOTONGO.

AU pia....
....asiyetoa tongotongo la ujinga anaweza asione vizuri kwa kutumia JICHO safi lisilostukia ujinga!:-(
Swali:
  • Unauhakika na harufu ya tongotongo lako au uko kama yule na hujawahi kufikiria kunusa?

Tutulie na Maxi Priest aseme CLOSE to U


Au Tu MAXI PRIEST aseme.....SHOULD I?....

Asanteni wadau wote tuliokuwa Estonia pamoja hasa Hashimu.Na hongera Hashimu kwa kushinda shindano la MUZIKI. Baadhi ni hawa kwenye picha zangu za Estonia na hapa na pale za juzi za jana.....
Photobucket

Photobucket


Photobucket


Photobucket



Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket


Photobucket

Photobucket


Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket





Photobucket

Photobucket


Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP