Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

TUMAINI LA KESHO lisilo NA uhakika, baada ya YAJANA tusiyoyakumbuka kwa UHAKIKA !

>> Saturday, January 24, 2009

KUNA wafikiriao wanauhakika na yaliyopita wakati ya leo yanapita bila UHAKIKA.

Wote tunajua ya kesho hayana UHAKIKA.:-(

Kuona ya LEO ni TAALUMA ikiwa labda leo hata sehemu zako nyeti hujaziangalia kwa UHAKIKA.

Katika kujaribu kufikiria ya jana, unaweza usikumbuke kama ulimfurahisha mpendwa, adui au hata MUNGU kwa UHAKIKA.

Wakati ya jana tuyakumbukayo YANAHESABIKA, labda ya leo tumeanza kusahau hesabu zake NAHAKIKA.

Na pamoja na kuomba MUNGU , mwenzio hata ya KESHO kuhusu mimi na wewe sina UHAKIKA!


Lakini.....
....NAKUTAKIA KILA LA KHERI Mdau NA Adui na kwa hilo NINAUHAKIKA!

SIKU NJEMA!

Tutulie kwa kupata mtazamo wa Rashid Bhikha featuring Abdul-Malik Ahmad katika BANGI na Madawa ya kulevya.....katika Can't U see?


Au tupate mtazamo mwingine wa BANGI kutoka kwa Daddy Rings & Cocoa Tea wakisema- Herb fi bun


AU tu tupate mtazamo wa chupi kutoka kwa Sisqo....katika Thong Song

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP