Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuendekeza ANASA,...

>> Sunday, January 31, 2010

... labda ni hata kunywa UJI wakati huna HITAJI la UJI.:-(


Na kwahiyo,...
....wakati KUMBIKUMBI wanakidhi mahitaji yaleyale ya SENENE ghali,...
.... LABDA kula SENENE ni ANASA pia.:-(


Swali:
  • Au?

Ndio,...
... anasa hutofautiana kutoka MTU na MTU,....
.... na anasa kwa wengine LABDA ndio maisha ya kawaida kwako.:-(Swali:

  • Si kuna uwezekano kuwa na chupi zaidi ya mbili ni anasa pia, au unafikiri IKIBIDI chupi tatu hazikutoshi?
  • Unafikiri kama UNA AKILI kufanya ujinga bila kutumia akili sio ANASA?


Ni wazo tu HILI Mheshimiwa na kumbuka blogu hii wala sio BIBLIA au Korani kibusara!:-(

Na moja kwa moja ngojea twende Nigeria Nkem Owoh aonye madhara ya kwenda shule katika - School Na Good Thing
Au tu twende Ivory Coast Meiway abadili hali ya hewa kwa kitu- Koundoum Beat

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 11:34 am  

@Mt. Simon: "Si kuna uwezekano kuwa na chupi zaidi ya mbili ni anasa pia, au unafikiri IKIBIDI chupi tatu hazikutoshi?"

Nachizika na wazo hili: unamaanisha Chupi 3 ni PANA ama zinabana? :-(

Katika kutotosha na kuwa pana na kubana si ndo raha yenyewe? :-(

Simon Kitururu 4:36 pm  

@Kadinali Ng'wanambiti: Nahisi uchaguzi wa ujazo wa chupi LABDA ni anasa pia!:-(

Kwani madhumuni ya tumizi la chupi kwa ajili yakujisikilizisha raha sio ANASA yenyewe hiyo?

Yasinta Ngonyani 5:00 pm  

Chacha Wambura:-(
Mt. Simon :-(

Anonymous 5:05 pm  

I usually do not leave a comment, but the ideas really rocks, also I have a few questions like to ask, what's your contact details?

-Johnson

Anonymous 1:08 pm  

ha, I will experiment my thought, your post bring me some good ideas, it's truly awesome, thanks.

- Norman

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP