Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa wote mfuatao KALENDA ya JULIAN !

>> Thursday, January 07, 2010



WOTE muifuatayo KWELI ya imani ipatikanayo katika MAKANISA ya KI-ORTHODOX,...

...HONGERENI kwa kuwa leo MWOKOZI YESU kazaliwa!




Na WENGINE nawatakieni wote shamrashamra MURWA za KRISMASI ya leo !



Samahani,...
....kwa wazingukao na KALENDA ya JULIAN kwa kuwa wamezoea ya GREGORIAN unaweza tu KU- GOOGLE mkero kama sio mvivu,....

.... au ukafananisha kuwa kwa KALENDA hii ya JULIAN ulitahiriwa tarehe gani kwa kukongoli-

Calendar converter HAPA



Au tu pata BEMBEYA JAZZ National kama utasherehekea kwa -Whiskey Soda

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 8:39 pm  

Hongera sana kwa siku hii!!ujaliwe kila jema utandalo

PASSION4FASHION.TZ 10:00 pm  

Nami pia napenda kuwapongeza,Simon sio hao tu wenyekufurahiya siku hii na uncle wako pia ni siku yake ya kuzaliwa.

Simon Kitururu 12:24 pm  

@Da Yasinta: Asante ingawa siku haikuwa sana na uhusiano na mimi.:-(

@Passion4fashion: Nimemuona SEAN pale. Hongera kweli kwake! Namtakia UObama fulani kwa sana tu SEAN!

Yasinta Ngonyani 4:39 pm  

Simon! unaonyesha kama una huzuni kweli hapo vipi Mtakatifu?

Simon Kitururu 4:24 pm  

@Da Yasinta: Upweke!:-(

Yasinta Ngonyani 9:34 pm  

pole:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP