Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Binadamu yoyote AKINUKULIWA alichowahi KUFIKIRIA,....

>> Thursday, January 14, 2010

..... waweza kuhakikisha ni jinsi gani BINADAMU wote ni sawa angalau hata kwa jinsi gani tu wafikiriavyo kwenda MSALANI.:-(Na unaweza kustukia siri ya JENERALI wa JESHI aitwaye na kujulikana SHUJAA ni KWELI anaogopa GIZA,...
... na POLISI aheshimiwaye ni mwizi.:-(Na ,...
....unaweza PIA kustukia MPAKA kumbe aonekanaye CHEKIBOBU, muonekano HUO ni kwa sababu TU aliwahikufikiria kitu na kujistukia kuwa ni MSHAMBA,...

.... kama TU ilivyokuwa kwamba kisa cha SISTA DU kuvaa mavazi mazuri na YA ghali sana ilivyo na UHUSIANO na matunda ya fikira zake zimwambiazo na KUMUHAKIKISHIA yeye mbaya UCHI .:-(


Swali:
  • Hivi ukinukuu MAWAZO ya PADRE asiyeruhusiwa kuoa wa KIKATOLIKI au tu hata PAPA si unaweza kukatishwa tamaa na jinsi anavyomfikiria demu ?
  • Unauhakika kila mtu akinukuliwa alichowahi kufikiria kuna MHESHIMIWA duniani?
  • Unafikiri hakuna uwezekano kila mtu ALIVYO ni matunda ya alichowahi kukifikiria ?
  • Unafikiri ni lazima ufikirie Jehanamu ili uhusudu kwenda Mbinguni?

NI wazo tu hili MHESHIMIWA na USIKONDE!
Na nakutakia Alhamisi NJEMA Mkuu!

Ngojea DIDO arudie -Thank U
Au tu twende Cape Verde Cesaria Evora arudie-SodadeAu tu Cesaria Evora arudie na -Angola


4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

John Mwaipopo 2:31 pm  

mioyo yetu na bongo zetu vingalikuwa onekanivu (transparent)kama chupa ya maji ya uhai, tusingalikuwa tukiringa kama turingavyo leo.

Yasinta Ngonyani 7:12 pm  

ninanukuu "..... waweza kuhakikisha ni jinsi gani BINADAMU wote ni sawa angalau hata kwa jinsi gani tu wafikiriavyo kwenda MSALANI.:-(" mwisho wa kunukuu:- hapa nakubalina nawe ni kweli inawezekana tunafikiria sawa na tukunya mavi na kukujoa mkojo wote:-(

Simon Kitururu 10:52 am  

@Mkuu John: Si utani!

@Dada Yasinta: Si utani!:-(

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 7:24 am  

@Yasinta na Mt. Simon: juu ya kwenda msalani tendo laweza kuwa tofauti :-(

kwani hujastukia mtu kwenda msalani ukadhani aenda kushusha kimba na kojo kumbe aenda kujichua? :-(

na ikitokea transparency, MHESHIMIWA atakuwa Mtakatifu simon tu!!!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP