Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Sura MIA za MTU MWENYE sura moja!

>> Thursday, January 21, 2010

.....kuna WASAHAUO kuwa sura ,...

... waliyozaliwanayo SIO sura,....
.... watakayokufa NAYO hasa kama walizaliwa HAI.:-(




Na kwa mkao MWINGINE WA MAWAZO naweza sema ALILIACHO MTU wakati analilia KIWEMBE,...
....kwa kawaida sio KILEKILE aliacho MTU baada ya KUJIKATA na KIWEMBE.:-(




Swali:
  • AU?
  • Unafikiri uifurahiavyo CHUPI dukani ni vilevile uifurahiavyo baada ya kuivaa?




Kumbuka Binadamu huyohuyo mmoja,....
..UKIMTAZAMA SURA,.....
... ndiye mwenye SURA ya:

  • HOFU
  • UJASIRI
  • KUJIDAI
  • KUSHINDWA
  • KUKATA TAMAA
  • KUTONGOZA
  • uijuayo ni ya KUKUKATAA USIMUONJE
  • KUKUDHARAU
  • KUTUBU dhambi ya mwaka jana
  • KUJIDAI
  • KISENGE
  • KIJEBA mchovu tu
  • UZURI kama kalamba limao
  • UBAYA kama kunyanzi la tako la Kima mzee
  • .....YENYE CHUNUSI

  • ......NZURI KAMA MALAIKA
  • KUHITAJI KUKUBALIKA
  • KUKUBALI KAKOSEA
  • HUZUNI
  • FURAHA
  • .....NK,...
.....na labda BINADAMU HUYOHUYO umfikiriaye mwenye sura zote hizo ukimpa muda AU UKIMUULIZA MUANGALIAJI ASIYE....
..... WEWE ,...

....labda huyo MTU mmoja MWENYE SURA mia ni WEWE,....
.... kama sio MIMI.:-(







NAACHA WAZO HILI NYOKO MHESHIMIWA lakini kumbuka MHESHIMIWA hili ni wazo tu !:-(



Hebu tuangalie sura mbili za PAPA SAN Moja akilia.. katika -MADDY MADDY CRY




Au tu akiongelea enzi hizo -hippity hippity Hop

NA sasa msikilize sura yake nyingine akiwa KANISANI katika-Step Pon Di Enemy


Au tu endelea tu kumsikiliza akimsifu Yesu kanisani katika-God is for me

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP