Kabla MATATIZO ya MWAKA JANA hayajajirudia tena MWAKA HUU!:-(
>> Sunday, January 03, 2010
Swali:
- Kama ulikuwa na tatizo mwaka jana UNAUHAKIKA UNAJUA kwa uhakika MWAKA JANA tatizo lilikuwa ni nini?
Lakini,.....
 ....KAMA HUBADILI ulivyokuwa au tu ULIVYOFANYA mwaka jana,...
..... nafikiri ni haki ya wapendao kulaumu WATU wengine ,....
.... KUKULAUMU ......
.....mpaka USIPOKUWA MJANJA  WANAOKULAUMU unaweza kufikiri yao ya MWAKA JANA HAYAKUWA NA DOSARI na  yalimchekesha YESU , Mohamedi, au tu KIMADA, hata kabla ya kuwafanya wajilaumu  KITU waliokuzaa  WAZAZI,...
...KWA kuwa  LABDA NI KWELI .....
 ...kama hubadili  ULIVYOFANYA  mwaka jana ,  LABDA usitegemee sana  MWAKA HUU kwa kuwa CHEUSI DAWA hupendi ulivyo kuwa mweusi mwaka jana basi  kwa staili ileile ya MWAKA JANA  ambayo mkorogo HAUKUKUCHUBUA SURA  itakuchubua SURA MWAKA HUU.:-(
Na kwa BAHATI MBAYA,...
... haki ya nani tena LABDA ULIVYOFANYA mwaka jana MPENZI CHEUSI DAWA  ambavyo HAVIKUZAA MATUNDA mwaka jana ,...
.. ni staili ileile  IFANIKISHAYO VITU MWAKA HUU  ambayo uliwahi  tu KUIFANYA  mwaka mmoja MZIMA   kabla ya SHUGHULI ITAKIWAVYO KUFANYWA ,......
....na ukifanya vilevile vya MWAKA JANA,  mwaka  HUU  italipa kweli mwaka huu hata kama MWAKA HUU cheusi dawa NIA YAKO sio TENA  kujichubua sura  kwa kuwa umeshastukia  kuwa unalipa hivyohivyo  ulivyo na BONGE LA MWANYA  ambalo ulikuwa unafikiri limekaa kama PENGO mwaka jana ila  umestukia KWELI KABISA KAMA NYOKO  MWAKA HUU kuwa hilo ni MWANYA tokea enzi kama tu ILIVYO   mwaka HUU.:-(
Swali:
- Si unakumbuka MAJARIBIO ya mwaka jana ya KUFANIKIWA yaliyoshindwa haina maana katika yale majaribio ya MWAKA JANA kuna kitu ulikuwa UNAKOSEA?
- SI unajua ukijaribu kama mwaka jana labda MWAKA huu ndio utafanikiwa kupata hata kinamna uhangaikiacho labda katika PENZI kina UKIMWI?
- Unauhakika uhangaikiacho kufanikisha KIKIFANIKIWA huo hauta kuwa mwanzo wakustukia ndio kwanza inabidi uanze swala zima la uhangaikaji UPYA?:-(
NI WAZO TU HILI Mkuu na haki ya nani  USIKONDE!:-(
Ngojea FLOETRY wadai katika mtongozo -SAY YES
Tantra Zawadi afikirishe.....
Tantra ZAWADI arudie kumuongelea- GIRL
Au tu twende tena GUADELOUPE ili FUCKLY arudie kitu -DOUDOU
Au tu ni kuache na Baadhi ya PICHA za kabla na BAADA ya MWAKA 2009 kitakatifu....


















































 
 
  
 Posts
Posts
 
 




5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Ahsante kwa picha nzuri za aina mbalimbali na inaonekana katika kuumaliza mwaka ulikuwa na wakati murwwaaaaa!!!:-)
@Da Yasinta: Hakukukua na chochote cha zaidi! Matatizo matupu ya kama kawaida tu!:-(
@yasinta na Mt Simon: tatizo nnaloliona ni baridi hiyo! kwa mbegu zangu za kipadre waweza kuta hao wote alonao (wadada) Mt simon wanapata mimba bila kuingia kunako kwa sababu eti kuna baridi hasa wakati wa kumbatio :-)
Mabeli dansa mpaka ulaya wapo kumbe halafu Simon nakuona hapo upo hoi bin taaban bin kuchoka yani.
@Kadinali Chacha Ng'wanambiti: DUH!
@Mzee wa Taratibu: Mabeli dansa wapo. Ni kweli fulu kuchoka Mkuu!
Post a Comment