UMEKIFIKIRIA unachokifikiria LEO?
>> Sunday, January 24, 2010
Jinsi unavyofikiria ,....
.....HUWEZA athiri UNACHOKIFIKIRIA lakini.:-(
.....HUWEZA athiri UNACHOKIFIKIRIA lakini.:-(
Swali:
- Ni mangapi uliyoyafikiria jana AMBAYO HULAZIMIKI KUYAFIKIRIA LEO ambayo unakumbuka kuyafikiria tena leo?
NI HILO TU!:-(
9 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
:-(
Ya jana nimeyasahau yote kwa kuwa hayakuwa na uzito zaidi ya leo....
Jana nilifikiria kutembelea humu jamvini kwako. Leo tena nimejikuta nafikiria vivyo hivyo.
duh, sura ya imwana!
Wakati mwingine kufikiri ni kupoteza muda na pengine kufanya mambo bila ya kufikiri ni bora zaidi! Ati, ni lazima tufikiri? Mbona mimi nimekata wiki sasa bila kufikiri cho chote!
Mimi nilifikiria kukutana na fumbo kubwa hapa kibarazani, nashangaa nimekutana na mistari....
wewe.......... acha........
@Dada Yasinta: :-(
@Dada Edna: :-)
@Papa fadhy: :-)
@komandoo kamala: DUH!
@Prof. Matondo: na nukuu ``Ati, ni lazima tufikiri?´´ Nadhani si lazima kufikiri . Lakini nafikiri inategemea na rutini za maisha zimezoelewekaje. Na nafikiri kuna maeneo ni lazima fikira zipite maana lasivyo zambi zitatendeka kweli au tu hukawii kujikuta umepigwa roba na wajanja mitaa fulani fulani .
@Mkuu CHIB: Mistari mara nyingi ndio msingi wa mahubiri yote ya saa nzima ya Padre!.:-)
@Swahili Street: Ntajaribu! :-)
Post a Comment