Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

R.I.P Brotha Teddy Pendergrass!

>> Friday, January 15, 2010
Ingawa nimechelewa kustukia,...

... R.I.P Teddy.

[March 26, 1950 – January 13, 2010]P.S :

Kama MAREHEMU HUWA wanasikia,...
... nakiri kuwa BADO nazinguka sana tu na kazi zako Mkuu,...

....kuanzia katika bendi ya Harold Melvin & The Blue Notes
katika ngoma kama - If You Don't Know Me By Now
...mpaka ulipokuwa solo katika ngoma kama -Close the doorKwa msiyemjua Teddy Pendergrass mwaweza kukongoli HAPA

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:02 am  

Marehemu astarehe kwa amani. Nasi iko saa na siku tutakuwa huko uliko.Amina

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 4:25 pm  

Mt. simon, pole kwa kumpoteza mzimikiwaji wako. Natumai hauko peke yako :-(

Simon Kitururu 6:47 pm  

@Kadinali Chacha Ng'wanambiti: Katangulia tu kuanza Mkuu! Na kwa miaka mingi hata kabla hajapata saratani alikuwa hawezi hata kutembea kutokana na ajali. Kwa hiyo kwa mtazamo mwingine kapumzika.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP