Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Jinsi HANITHI astukiavyo wake UHANITHI!:-(

>> Sunday, January 03, 2010

....kwa VYOVYOTE kuna kitu HANITHI alikuwa anajaribu kufanya wakati alipostukia NA KUHAKIKISHA kuwa ni kweli katika shughuli NZIMA udhaifu wake yeye ni kweli ni UHANITHI!:-(





Swali:
  • Unafikiri kama mtu HAJARIBU ni MAMBO MANGAPI anauhakika katika shughuli YENYEWE yeye ni HANITHI?

  • Si unajua kama moja ya NUIO la MWAKA HUU ni KUJARIBU, katika kujaribu moja la jambo ambalo MHESHIMIWA unaweza kustukia ni kwamba NI KWELI katika shughuli uliokuwa unasita kujaribu MWAKA JANA haki ya mjusi tena ni kweli MWAKA HUU UKIJARIBU katika shughuli hiyo utajihakikishia HUIWEZI na kikubwa katika hilo weye ni HANITHI?

  • Lakini weye MTANZANIA si unajua ni kwa kujaribu tu ndio unaweza ukawa KIKWETE wetu wa baadaye KATIKA SHUGHULI na katika UHASISI wa nani atakuwa RAIS wa kikweli aletaye maendeleo ya kikweli TANZANNIA utasahaulisha watu weye SIO Rais NYERERE kwa kusababisha watu wasahau aliyofanya Rais Nyerere kwa kuwa yako yamesababisha mpaka PANYA na MENDE wanavitambi na wavivu kuingia katika nyumba za watu TANZANIA kudoea chochote kwenye masinki?

  • SI unajua lakini labda ni weye ufikiriacho ukijaribu ndio JAWABU LISAWAZISHALO hata uzembe wa akina SIMON KITURURU ambao hata kumpa mimba mtu bado hawajafanikisha katika jamii iaminiyo moja ya shughuli ya walimwengu ni kuujaza ULIMWENGU?





Tukiachana na yote yasiyo GUSA KIPELE au kukuna kipele cha hoja hii;...



......FANIKISHA MKUU mwaka HUU kwa kuwa bila kujaribu KUNAUWEZEKANO hata wewe mwenyewe huwezi kujihakikishia ni JINSI GANI UNAWEZA.

-AU?

NIMEACHA hoja hii banangenge MHESHIMIWA na kwa MARA NYINGINE HERI ya MWAKA MPYA MKUU!







Photobucket


Photobucket
Na kama wewe ni MSICHANA na kisiri unanipenda ,....
...chukulia katika picha ifuatayo weye ni hilo doli NILILOJARIBU kulipa faraja ndani ya pendo.:-(



Photobucket


Au tu James Brown ashawishi kwa katika kurudisha ustaarabu hapa kijiweni kwa kudai-Get Up Off That Thing




James Brown aendelee kwa- I feel Good




Au tu Scarface abadili ustaarabu KABISAA kitu ambacho kinaweza kuwa sio ustaarabu kama KATIKA KUFIKIRIA hunajicho kwa kudai - Recognize

10 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mija Shija Sayi 1:40 pm  

Kama ni kweli kitururu bado hujafanikisha kumtia mtu mimba basi kweli huo ni uzembe wa hali ya juu. Hakikisha mwaka huu unafanya kweli, japo hata kutuonyesha wifi basi.

Stay blessed.

Simon Kitururu 1:44 pm  

@Da Mija: Ni kweli sijawahi kumpa mimba mtu.:-( Ila mazoezi nafanya! Kuhusu ntamringishia huyo we acha tu!:-(

Simon Kitururu 1:48 pm  

Sentensi ya mwisho hapo juu kati ya neno - Kuhusu - NA - ntamringishia- DA MIJA ingiza neno ´´WIFI´´ ili uelewe MSHEBEDUO.:-(

Yasinta Ngonyani 5:22 pm  

Da Mija hapo umesema, maana miaka inakwenda.
Mt. Simon! una uhakika kweli kama huna vifaranga pale na pale. Maana duh! naona hali sasa mpaka doli anapata busu. Kaaaaziii kwelikweli. Upendo Daima

Simon Kitururu 5:02 am  

@Da Yasinta: Miaka hivi inakwenda wapi?

Hujastukia kwa wengi na kwa miaka mingi kwa wapweke mdoli ni bonge la girlfriend?

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 8:57 am  

@Mt. Simon:"Hujastukia kwa wengi na kwa miaka mingi kwa wapweke mdoli ni bonge la girlfriend?:" na "Ni kweli sijawahi kumpa mimba mtu.:-( Ila mazoezi nafanya!"

Mazoezi unafanyia wapi mkuu? ktk Mdoli? :-( Kama ni katika mdoli hiyo mimba itatokapi? :-(

kama A & B zinarandana, inanikumbusha story ya mtu alooa nkewe lakini ikifika kunako tendo alikuwa anapewa kwapa na kumalizia shida yake humo ilhali wazazi wa kijana walikuwa wanataka mjukuu.

Alipoulizwa akasema 'mie hutia katika kwapa kwani huwa nikitaka kwingine sipewi' :-( Akaambiwa 'usiku ukifika insist akupanulie mapaja utaona/pata utukufu kama wa binguni' :-)


Mt. Simoni nawe uko hivo, ama!

Simon Kitururu 10:17 am  

@Kadinali Ng'wanamiti: Yani sijui umenijuaje yani miye na siri yangu !:-(

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 11:32 am  

Ndo uhanithi huo ati kwa maana nyingine...ama? :-(

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa 12:49 pm  

@Kitururu bikra, watanzania tunakosa sana uthubutu!

wife wangu anatema mate hovyo

Simon Kitururu 6:15 pm  

@Kadinali: Kwa maana nyingine na KWA MWINGINE inaweza kuwa maana yake hiyo.

@Komandoo Kamala:Yani unabidii weye kama Wife anatema mate hovyo tayari.:-)

Na ni kweli WATANZANIA WENGI tunakosa sana kuthubutu.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP