Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa Dada YASINTA NGONYANI!

>> Tuesday, January 05, 2010


Nakutakia,...

......HAPPY BIRTHDAY Kibonge Mwanakwetu!Unaweza kumtembelea HAPA

15 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:52 pm  

Ni furaha kuwekwa katika blog ya mt. simon. Ahsante kwa kunitakia heri ya kuzaliwa.

mumyhery 2:22 pm  

Happy Birthday Yasinta

John Mwaipopo 6:33 pm  

'ongela' nakupatia yasinta ngonyanui hata huku kwa mtakatifu wetu pia. mungu akupendelee na kumiminia miaka tele ufike miaka mingi saaana

chib 11:49 pm  

Mimi naisubiri ya Mtakatifu, nasikia ni tarehe 29 Februari :-(

Simon Kitururu 12:08 am  

@Da Yasinta: :-)

@Mkuu CHIB: ni Tarehe 16 January ingawa huwa sina tabia ya kuisherehekea.:-(

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 8:55 am  

@ Mt. Simon: kumbe Yasinta ni kibonge ama ina maana nyingine kama vile mduchumduchu :-(

Hongela Yasinta!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa 8:12 am  

sio mwanamke wa panga?

@mtaka 'tifu' udenda vp?

Anonymous 11:33 pm  

Dada Yasinta Hongera kwa siku ya Kuzaliwa.. Mungu akubariki na akupe miaka mingiii ya maisha hapa duniani.... La muhimu zaidi "do something that will make you feel proud of yourself when age will not allow you to do anything special....". Vatangatilayi vasikani kufanikiwa. Your bro.. Ndomba from Lusonga/Magagura.. Dont be surprised... I always read your comments in various blogs as well as yours. I do not have mine yet... My regards to your family

Yasinta Ngonyani 11:32 am  

Kaka Ndomba wa Lusonga/Magagura! usengwili sana na nisengula kwa ushauri waku. Wamyangu uvili kwoki. Kujova kweli unikenyemwishi chidogo.Yipelayi salam familia yaku na veve.

Simon Kitururu 12:27 pm  

@Kadinali CHACHA Ng'wanambiti: Yasinta kimvuto ni bonge la Kibonge ila hapa nilikuwa namtakia siku yake nayo iwe kibonge. Si inasemekana siye Waafrika tunahusudu vitu kibonge?


@Komandoo kamala: Udenda pipa yani!:-(

Yasinta Ngonyani 3:12 pm  

Heeeeeh! Hivi kibonge ni nini? maana naona naambiwa kibonge na sijajua maana yake:-)

Simon Kitururu 3:14 pm  

@Da Yasinta: Maana yake BONGE la totoz!:-(

Yasinta Ngonyani 5:21 pm  

Mt. Simon! Totoz?Mmmmh fafanua.
Na kamala anauliza kama si mwanamke wa panga? una maana gani Kamala.

Simon Kitururu 8:57 pm  

@Da Yasinta: Totoz ni msichana mtamu machoni.:-(

Yasinta Ngonyani 9:52 pm  

kumbe Duh!!:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP