MANUFAA ya MAUMIVU!
>> Sunday, January 24, 2010
NDIO,....
...KUUMIA INASEMEKANA hatupendi.:-(
...KUUMIA INASEMEKANA hatupendi.:-(
Swali:
- Unafikiri bila kusikia maumivu unauhakika usinge haribu hata kikojoleo chako kwa kukiingiza vijiti au ANGALAU kuchoma TU tako lako kwa kukalia jiko la mkaa?
- Unafikiri bila maumivu maisha au hata vitisho vya JEHANAMU vingeleta maana katika kukudaka hofu?
- Hivi unajua adaiye roho inauma huwa anamaanisha anasikilizia maumivu wapi vile?
- Unauhakika hupendi kuumia?
BADO nafikiria hili swala MHESHIMIWA ingawa kunihukumu RUKSA!.:-(
BAADAYE Mkuu!
Au tu ngojea katika kubadili hali ya hewa KIJIWENI hapa Tabu Ley Rochereau alete - Mokolo Nakokufa
FRANCO & le T.P. O.K. JAZZ warudie - C'est Dur la Vie d'une Femme Célibataire
Au tu Too Short abadili kwa -The Ghetto
Na Skee Loo arudie- I wish
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
roho inaumaje tena kitururu, roho au mihemko fulani?
@Komandoo Kamala: Kwani hujawahi kusikia mtu akidai kaumizwa roho?
Post a Comment