Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Umpendaye SANA HASA kwa uzuri wa TAKO, kwa bahati mbaya TAKO likidondoka au KUSINYAA!:-(

>> Saturday, January 23, 2010

[Tahadhari: Wazo limepinda!:-(]
Kwa bahati MBAYA,...
... UKIFIKIRIA ,...
....chochote kikufanyacho umpende mtu kimuonekano HAKIDUMU!:-(Kwa bahati MBAYA,...
.... UKIFIKIRIA,...
...chochote KISABABISHACHO unampenda mtu NA kisichoonekana kwa MACHO pia hubadilika hata kama utadai kama tu pendo , KIMEDUMU.:-(
Swali kabla hujatafakari hoja :


  • Kwani unafikiri wewe wa jana ni wewe wa leo?
  • SI unakumbuka kabla hujafa hujaumbika?
  • SI unakumbuka KUNAUWEZEKANO MKUBWA kila umtamaniye kwakuwa KAUMBIKA hata kama ni kwa tamaa ya kutaka kumuonja tu KIDUDE, kama unajua alishaonjwa BASI si unajua kunauwezekano MKUBWA kuna aliyemchoka ingawa kwako bado MZURIII?

NDIO,...
....tunapenda kwa sababu LUKUKI!:-(Lakini,....

....Upendacho cha MPENZI mpendwa,...
... kama hukuinacho kama akuavyonacho MPENZI basi KUNAUWEZEKANO MKUBWA kesho kishazeeka HICHO kwako.:-(


Na fikiria tu kuwa,....
...... umpendaye kwa kuwa CHUCHU saa sita,.....
.... kumbuka kuna saa ISHIRINI NA NNE katika siku,...


... na kama mapenzi yenu yananyegeleshwa na MUGONGOMUGONGO au tu BONGO FLEVA,...

... kumbuka kulikuwa na JAZZ BENDI kibao BONGO na KWASSAKWASSA pia sio muda murefu uliopita kimtindo ambo sasa hivi kuna watakao apia ni ZILIPENDWA.Kwa kifupi,...
... KUMBUKA upendavyo KIKUPATISHACHO NYEGE kikupandishavyo nyege cha UMPENDAYE ,....


.... kuingiliana nacho kila siku KATIKA kutibu nyege ni tofauti na kuishi nacho jumlajumla kila siku MAISHANI kwa kuwa tu UKWELI NI KWAMBA katika MAISHA,...
......JUMLA YA MAISHANI na MTU ni zaidi ya tibabu la nyege.:-(


Swali:
  • Si unakumbuka KAMA UMESHAWAHI KUSIKILIZA WAHENGA , umpendaye kwa kuwa ANAKUVUTIA kwa mwanya , mkiingia MAISHANI unaweza kutokumbuka kumuangalia MWANYA kwa kuwa tu unajua ni wako na UNAMPENDA?

  • Si unakumbuka sista DU mpenda mpiga CHUMA kwa kuwa ana SIXPACK unafikiri akipata mimba ni rahisi kumuacha ALIYEKUWA NA SIXPACK kwa kuwa kaota kitambi?

  • Unakumbuka asilimia kubwa ya vilema hawakuzaliwa vilema?
  • Ushawaza wewe bila tako ukoje na akupendaye siku ukiwa hauna tako utu wako unatosha kutunza pendo?
  • SI unakumbuka mwenye mwanya aking'oka jino moja tu mvuto wa mwanya hufanana na mvuto wa kibogoyo?


NI WAZO TU hili MKUU na wala usikonde!Hebu tubadili kwa Third World ft Bounty Killer & Shaggy wakileta - Reggae Party


Au tu VYBZ KARTEL Ft SPICE warudie -RAMPING SHOP
Nipo,...
.... na baadhi ya siku ni kama pichani ,

......na asanteni WADAU ambao hamkunitenga hizi siku za karibuni ambao baadhi mko PICHANI...:-(

PhotobucketPhotobucket

Photobucket
Photobucket


PhotobucketPhotobucket
Photobucket
Photobucket
Photobucket
PhotobucketPhotobucket
Photobucket
Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket
Photobucket
Photobucket
Photobucket
Photobucket

Photobucket
Photobucket
Photobucket
Photobucket


Photobucket

PhotobucketPhotobucket
Photobucket
Photobucket

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:40 pm  

Kaka Simon uwe unatualikwa na wengine:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP