Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

HIVI wasichana wa SIKU hizi TANZANIA katika KUDENGUA na KUJISHEBEDUA bado kuna wabanao PUA?

>> Saturday, January 09, 2010

[Tahadhari: Taralila hii inahitajia ainafulani ya UKUBWA na labda haimfai mtoto au wewe kama unamchezo wa kukwazika na neno.:-(]






Ndio,....

.... kila kizazi kina staili zake za NATAKA SITAKI na mpaka tu fulu KUJISHEBEDUA.:-(





Ndio,...

.....kwa kawaida staili za jana si za leo ingawa kimini SKETI CHA MAWAZO au tu cha VAZI cha MWAKA elfu moja mia tisa SITINI chaweza kuwa kinalipa leo angalau katika staili ya kuonyesha mwanzo wa juu ya goti KATIKA kuchombeza dalili ZA paja zuri MWANAWANI lililosahaulisha mwenye paja ni UBONGO WAKE ndio katika staili yake ndio alichokuwa anatumia mlivyokutana katika KUJISHEBEDUA .:-(







Tukiacha utani na kwenda kwenye SWALI:


  • Hivi akina AKINA DADA/ KINAMAMA mnajua kuwa kwa akina KAKA/ AKINA BABA kabila yenu YA KIKE inahitaji mara nyingi ufundi sana KUFUMBUA FUMBO LA MNAWAZA NINI hata katika hata SWALA la kuhakikisha ni kweli wakati mnaonekana mnataka mafenesi ili twende kwenye SOKO LA MAFENESI kweli yenyewe HAIKO katika ukweli kuwa kihitajikacho ni VIATU VIPYA na tunaenda soko la mafenesi kwa kuwa liko mbele ya duka la viatu?


  • Ewe usiye na UUME unauhakika unaongea LUGHA ambayo mwenye uume anaelewa, zaidi ya ile ya kulalamika NA KULIA KIDOGO ambayo kila kidume anaielewa?

  • Na enyi vidume mnaelewa mara nyingine mtaka penzi mke wa ndoa anajisikia kutotoa tendo la ndoa lile lililobarikiwa na sio lile la kimada - kwa kuwa adaivyo pesa ya mboga haitoshi na au tu adaivyo kachoka mboga zile zile - maana yake kaichoka VITARA na BALUNI ya mwaka juzi na sasa anataka gari nyingine kama watumiazo mashoga zake?
  • Kabla sijasahau MDENGUO,- ni staili gani siku hizi bongo inalipa kwa ZE demuz au ndio kila mtu na staili yake na wote hawamuigi RIHANNA?


NI wazo tu hili MHESHIMIWA usitishike ingawa mwaka huu demu akinielewa nimuelewavyo ntampa mimba haki ya nani!:-(!



Tuachane na hayo na hebu WERRASON abadili kwa -Operation Dragon



Au tu Yondo Sister arudie- Scandale

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 11:28 am  

Mt Simon: umishindwa mwaka jana mwaka huu utaiweka hiyo mimba :-(

Na kwa kusema ukweli, siku hizi hakuna wabanao pua bali wabakaji wa pendo :-(

Simon Kitururu 11:38 am  

@Kadinali Ng'wanambiti: Yani we acha tu!:-(

Yasinta Ngonyani 2:36 pm  

Tunasubiri kumpata wifi na pia kashangazi:-)

Simon Kitururu 2:38 pm  

@Da Yasinta: Yani we acha tu yani!:-(

Yasinta Ngonyani 3:47 pm  

Ok! Mt.Simon nimeacha nasubiri tu kuona:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP