Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Bin-ADAMU kabla hajastukia ana UBONGO!

>> Monday, May 04, 2009

Mtu anaweza kuchelewa kustukia anaubongo na akistukia anaweza asijue uko wapi.

Ubongo nishai !

Usipoangalia UBONGO unaweza kukujulisha kuwa wewe mjinga.

Na wakati una akili unaweza kuwa maarufu kwa ujinga.
Swali:

  • Lini ulistukia kuna kitu kinaitwa ubongo na kuwa kinaishi na kucheza nguti wapi ?


Bado matumizi ya ubongo yanaweza kukusikilizisha utamu au kukustua umefinywa.:-(

Na ukistukia una ubongo, labda ni kweli unatumia ubongo .
Swali:
  • AU?


NIMEACHA!

Ngojea tu twende tena AFRIKA ya sehemu za chini a.k.a KUSINI ili PAT SHANGE abadilishe hali ya hewa kwa kibao -Sweet MAMA...


Au ngojea tubaki tu South Afrika Chico Twala azungumzie - Money

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:17 pm  

Simon kazi kweli kweli:-(

Simon Kitururu 2:35 pm  

@Yasinta!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP