Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Sikilizia utamu wa ngono ukifanya ngono na sikilizia utamu wa perege wakati unakula PEREGE!

>> Monday, May 18, 2009

Papara za nini, ....
.....sikilizia hiki kama unafanya hiki, KILE kina baadaye.

Swali:

  • AU?



Na kama wakati huu hiki ni penzi,...
...unaweza kuharibu utamu wa penzi kama wakati unafanya penzi , hapohapo unafikiria baiskeli yako iliyopata pancha.



Na ni kweli....
..... mambo mengi yanagombea USIKILIVU wako.

Sikilizia basi!


Swali:
  • AU?

Ni kweli ingawa unaweza kula makande kwa parachichi,....
...... lakini kama unataka kuwa na uhakika na ujazo wa utamu wa parachichi, kula parachichi wakati unalifikiria parachichi na sio mchikichi.




Na kama umeshikwa makende,....
...... stukia uumeshikwa makende na huo si wakati wakufikiria kaswende.

Swali:
  • Au?


NI wazo tu KINGUNGE!

Swali:
  • Au?
  • Si unakumbuka daima huwa unafanya kitu zaidi ya kimoja na hata wakati wa haja kubwa unaweza ukafanikisha haja kubwa wakati unafikiria kodi?

Ngojea St Germain watupe - So Flute



Au tu Msondo Ngoma wadai ingawa kuna vitu vingi muungwana anaweza kuvikaza,- Kaza Moyo

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:39 am  

Kweli ukikaza moyo mambo yataenda safi. Haraka haraka haina baraka:-(

Simon Kitururu 4:41 am  

@Yasinta: Si utani!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP