Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Leo Blogu ya Mtakatifu Simon Kitururu imefikisha kamuda ( 17.05.2006-17.05.2009)

>> Sunday, May 17, 2009


Tarehe 17 mwezi wa tano mwaka 2006
ndio niliposti kwa mara ya kwanza katika Blogu hii.

Sina chakusema zaidi yakushangaa muda unavyokwenda nikiwa MAWAZONI!
(17/2006- 17/2009)


Asanteni wote MNITEMBELEAO!

Samahani niliowakwaza kwa ujinga/upuuzi!

Nashukuru mnaonielewa au kujaribu kunielewa!


TUKO PAMOJA!


(Pichani ni mimi na wazazi kabla sijawa Mtakatifu!)


AU ngojea Maxi Priest anisaidie kubadili hali ya hewa nisikuboe katika kibao....- Just Wanna Know



Au tu adai-One more chance

7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Evarist Chahali 7:45 am  

Happy birthday,Mkuu, na hongera nyingi.Hapa ndio uwanja wangu mkuu wa kupata nukuu muhimu.

Anonymous 7:54 am  

Hongera sana Mkuu Simon,lakini JUMUWATA imitimiza nini toka ilipoanzishwa?


Rasta hapa.

Fadhy Mtanga 9:49 am  

Hongera kaka, tumyaka tumesonga. Kila la kheri mkuu. Bado tupo pamoja kama wanasiasa na ahadi za uongo.

Yasinta Ngonyani 11:01 am  

Hongera kaka Simon! ni wewe hapa au?

malkiory 2:21 pm  
This comment has been removed by the author.
malkiory 2:25 pm  

Hongera kwa kutimia miaka mitatu toka kuzaliwa kwa blog hii.

Cheers!

Simon Kitururu 10:08 am  

Asanteni Wote!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP