Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika kuangalia tena TAALUMA ya KUTOONJEA ULIMI

>> Friday, May 01, 2009

Karibu kila sehemu ya MWILI wa binaadamu INA onja.

Ukitekenywa labda ni katika shughuli za wadaio UKIONJA kikwapa , na labda ni kweli inawezekana UMETEKENYWA kionjeo kama umetekenyeka .


Lakini UNAONJEA UBONGO mambo yote hata ya UBWABWA au KIFINYO kama wewe ni BIN -adamu.:-(

INGAWA unaharibu na unajaribu kutofautisha, na tofauti UNAJUA kwa sababu ni kweli kinyeo na kijambio ni tofauti ukitaka kutofautisha..

Swali:

  • BADO unafikiri unaonjea MUNGU imani, na SIO KIDANGANYA ubongo?



NIMEACHA!

Ngojea Salif Keita anisaidie tena katika kibao kiitwacho -KUMA ..



Au ngojea adai hana katika kibao - SINA

Au nimuache kama alivyokuwa na MIMI katika picha....













Photobucket




Photobucket






Photobucket



Photobucket








Photobucket





Photobucket




Photobucket








Photobucket



Photobucket



Photobucket





3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:04 pm  

kazi kwelikweli:-)

Koero Mkundi 11:16 am  

Naomba tafsiri ya jina la wimbo wa kwanza wa bwana huyu kwa kiswahili.

Simon Kitururu 9:21 am  

@Koero: DUH!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP