Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

nini MUHIMU?

>> Thursday, May 07, 2009

Kwani umuhimu ni nini ,....
......... IKIWA vya MUHIMU hupewa UMUHIMU na BIN-ADAMU?


Je? Kuna cha MUHIMU,.....
..... kama kilikufa na kitakufa na mtu MUHIMU?

Na kuna uhakika gani na usikiacho kuwa MUHIMU,...
..... wakati kwako akigusi wala kutekenya yaliyo kwako MUHIMU?


Na tuwe na uhakika gani na UMUHIMU wako ,...
.....kama hatustukii wewe MUHIMU?

Na kumbuka LABDA vya MUHIMU pamoja na UMUHIMU udhaniwao,...
..... ni lazima vife na vioze na hicho ndicho MUHIMU.


Ingawa msaada na changamoto MUHIMU kwako labda unaikosa,...
... kama bado huipati na kuicheki kwa adui yako aliye MUHIMU.:-(


Naomba URAFIKI lakini,...
... kama ni MUHIMU na ntakupa pipi weye MUHIMU.



NIWAZO TU MKUU tuliza manyanga na ENDELEZA udhaniayo ni MUHIMU!

Swali:

  • Nini kina kuhakikishia udhaniayo ni muhimu kweli ni MUHIMU?

Ngoja SAMBULUMAA watupe -DEZODEZO original


Au turudi tu Rwanda tukutane na Rafiki akija na kibao-Igitwenge

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:15 am  

kwa mimi kila kitu kilicho muhimu kwangu ni muhimu:-(

Yasinta Ngonyani 1:56 pm  

Oh Simon nilikuwa na haraka sikusikiliza mziki cheche che je? uliwaza nini ulipoweka mziki huu nimefurahi sana kwa sababu nilikuwa na hizi kasseti band za zamani unajua

Simon Kitururu 7:17 pm  

@Yasinta: Hata sikumbuki nilikuwa na waza nini . Ila nashangaa Watanzania wengi wanajua eti huu ni wimbo wa Tshala Muana na hawajui kua Tshala Muana alisikia huu ndio akapiga version yake.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP