Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Leo!

>> Tuesday, May 05, 2009

Tatizo la LEO ni kuwa huwa inakusanya mpaka na ya JANA.

Na ya leo yanaongeza utakayokutana nayo KESHO.

Hata kama umejifunza kutokana na ya JANA,.....
..... YAJANA yalishafanyika na yamekuingia mpaka KUMOYO hata kama huyafanyi leo na unafikiri yanapunguza uzito wa utakayofanya kesho.

Lakini bado LEO ni kiboko na inaweza kukuamulia ya KESHO.

Na kumbuka MZEE LEO alishawahi kuwa KIJANA.

Swali:
  • Hivi bado unaamini kuwa yakutokeayo leo ni MIPANGO ya MUNGU?
  • Kama unaamini katika mipango ya Mungu iliyokutokea leo , unauhakika si kwa mpango wa Mungu wewe utaenda JEHANAMU hivi karibuni?

Ni moja ya wazo tu USITISHIKE na kama umetishika TUBU shauri yako!:-(

Ngojea hawa WAMAREKANI watukumbushe SIASA YA UJAMAA kidogo...katika -Umoja - Unity


Au ngojea tu BOB RUDALA atongoze katika -NIMEKUCHAGUA WEWE

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 7:17 pm  

Mmh! Simon hapo kazi ipo haya bwana endelea kuwaza:-)

Simon Kitururu 7:11 am  

@Yasinta: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP