Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hamu ya KURUDIA kuonja!

>> Tuesday, May 26, 2009

Labda kama ungekuwa na uhakika na kitu usingehitaji KUKIONJA!

Kuonja maana yake huna uhakika.

Na ukirudia kuonja kuna uwezekano unaonja tena tu INGAWA unajua tayari kuwa NI TAMU!

Lakini,..
... madhumuni ya kuonja labda ni kujua ina UCHUNGU gani!

Cha kusikitisha ni kwamba ,...
.... TAMU YA JANA , leo inaweza kuwa ni CHUNGU!

Na nyege zako za kuonja jana zinaweza kuwa zilisababisha isiyo tamu ikaonjeka TAMU SANA!:-(


Swali:

  • Ushawahi kutofautisha utamu wa ukoko ukiwa na njaa ulivyotofauti na utamu wa ukoko wakati umeshiba?
  • Unauhakika ungekuwa na uhakika ungeonja badala ya kuila tu a.k.a KUBUGIA?
Ni wazo tu Mkurugenzi USITISHIKE na NIMEACHA!

Ngojea Makassy arudie ya -Mke WANGU

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 6:28 pm  

Simon:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP