Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama ni Tatizo MPENZI ALIYEWAHI KUKUONEA AIBU akifikia kuwa huru kujamba mbele zako bila AIBU!(simulizi za kushoto ya ndoa.)

>> Wednesday, May 06, 2009

Kwa mapenzi mara ya kwanza tulipokutana ,....
.... ulidai ulinionea aibu kunitazama.

Wadai moyo ulikudunda mara ya kwanza nguo tulipovuliana,.....
..... na hukutaka hata nanihii kuitizama.

Na nilipotokea saa za mchana,...
....dina ya lanchi meza iliandama.

Na saa za usiku mwanana,...
... lanchi ya dina na CHAUVUNGUNI ulinipa kwa hiari yenye hari hata kwa kuinama.

Sasa mpenzi huku ndio kuzoeana,....
.... hata busu mpaka niahidi kitenge cha Kigoma?

AMA kweli mapenzi kwa waliozoeana mwanana,...
... ukishanasa waweza nuniwa ubembeleze kupewa kitengo kama huta mpaka tukaniwa mama.:-(


Jamani angalau nong'ona basi mpenzi mwanana,....
.. ..mpaka majirani wajue hata kulala kitanda kimoja leo wagoma?

---------------------______________________----------
NIMEACHA !
Lilikuwa ni moja LA wazo tu !
Swali:
  • Unafikiri katika hadithi hii ya mwanasesere wahusika walikuwa wanazini auwanafanya tendo la ndoa?
  • Unauhakika hubadiliki baada ya kujua umelinasa hata lile limpenzi lako kibogoyo?


Au SHIHAN abadili hali ya hewa kwa kughani shairi -"Sick & Tired"

Ngojea niachie Jamaika +Somalia kombo wakati Damian Marley na K'naan wakidai kitu...

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 8:50 pm  

Hapo kuna kitu nimejifunza AHSANTE MR Mawzo:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP