Kama kuna UWEZEKANO wa kujitahidi KUNYA bila KUKUNJA USO!:-(
>> Sunday, May 31, 2009
Kuna mambo UNAJITAHIDI bila kujua!:-(
Na wakati unajitahidi labda UMEKUNYA na kama unajitahidi kunya halafu mavi hayatoki .......OK ngojea nisiendelee na mrengo huu wa fikira.
Swali:
- AU?
Lakini,...
... WAKATI unajitahidi labda kuna ambaye UNAMCHEKESHA ingawa sio kwa sitaili yako ya kuguna choooni.:-(
Na labda wakati unajitahidi ,....
... LABDA kuna ulikunjialo SURA!
Swali:
- AU?
NIMEACHA!
Au ngojea MISTA KUUUL a.ka. GREGORY ISAACS ajiongelee katika nanihii iitwayo- -TEACHER's Plight....
Au nikuache tena na baadhi ya picha zangu JUZI ya JANA...











































1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
kweli unajua kuwaza.:-(
Post a Comment