Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

WAKATI unaendelea KUCHAGUA cha kustukia na CHA KULAUMU!

>> Thursday, May 14, 2009

Kizuri na cha maana mara kenda kadhaa huwa HAKIONEKANI na wala HAKISIFIWI!

Na,...
.... UTAGUNDULIKA kirahisi uko HAI kwa kukosea na sio kupatia!:-(


Na kwa unafiki wa BIN-ADAMU,...
... kuna watakao kushangaa kwanini UNATUKANA wakati kwa kuongea kilokole na ukiongelea korosho na magimbi waliovaa raizoni hawakustukii UPO na wanakunyima mpaka sehemu za faragha na angalau wanageuka ukiwatukana na ukiachia msonyo!:-(
Swali:

  • Unauhakika kweli na sababu zako za kutukana uzifichazo nyuma ya vihasira vyako vilivyokonda?
  • Unauhakika huwaruki wafanyao mazuri na kustukia wakoseao na wewe ni mmoja wa waliosababisha TAARIFA ZA HABARI zimejaa mambo mabaya ambayo huitwa NEWS?



Na kuna uwezekana hata hapa unaendelea kusoma ili uone kama ntatukana , na kama ungekuwa na uhakika niandikacho ni mahubiri ungesha hama kwa kisingizio fulani bashasha kama vile '' NAKUBOA''.

LIONE VILE!

Na NAACHA TOPIKI umeniudhi!:-(


Ngojea basi tena DANY ENGOBO azungumzie-FRANCHA...



Au tu tutulize hali ya hewa kwa kuwaachia MAKOMA wamrudishe mtu kanisani kwa kibao- Ola OLE

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:36 am  

Kweli hata mimi umeniudhi:-( Simon kazi kwelikweli!

Simon Kitururu 3:14 pm  

@Yasinta! :-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP