Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ndani ya shule ijulikanayo kwa jina; BAA!

>> Monday, May 18, 2009

Unaweza kukataa,....
.... lakini baa ni shule.


Pamoja na BAA kulalamikiwa,....
..... ukitaka naweza kukuhakikishia kuna masomo ambayo baa ni Chuo Kikuu.

Na mara nyingi ni watu wasioijua baa huwa mstari wa mbele kuilalamikia baa!:-(

Siwalaumu lakini kama kwa kuwa kwako baa pamoja na mengine kama ya kujisomea hufanyi na tunaweza kujumlisha pia na tabia yako ya kuwa huwa Unalia NA Kujikojolea ukilewa, wakati mtoto wako anavaa midabwada na hajawahi kushiba.:-(


Lakini waweza kujifunza WATU na SILIKA ZA MTU baa zaidi ya uwezavyo kujifunza mtu Kanisani , Msikitini au Shuleni.



Ila BAA kama tu Msikitini au Kanisani,....
..... ukienda na ajenda zako zisizohusiana na kikao, ujumbe wa SHEKHE au PADRE unaweza usipande!:-(

Swali:

  • Au?
Ila baa kiboko , ...
.....usipoangalia unaweza ukanywa mpaka kodi ya nyumba na kuanza kuifikiria kuinywa pesa ya kununulia padi za mke kama tu ulivyowahi kunywa za mpenzi hausigeli.:-(

Swali:
  • Lakini si unakumbuka kila swala binadamu kaamua kuwa lina mahali pake?
  • Na kwani darasani huwa unaelewa kemistri wakati unamfikiria Khadija?

Nimeacha!

Au ngojea Bunny Wailer aongelee- Mellow Mood



Au tu Peter Tesha aongelee- Why Must I Cry


Au tu Bob Maliya aje katika- All in one medley mix


Nakuacha na baadhi ya picha zangu za juzi ya jana..
Photobucket


Photobucket



Photobucket


Photobucket





Photobucket







Photobucket



Photobucket


Photobucket



Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket



Photobucket


Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket


Photobucket

Photobucket





Photobucket



Photobucket


Photobucket

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

chib 12:38 pm  

Nilikuwa sijawahi kufikiria kabisa Baa kuwa kitovu cha elimu. Ujumbe wako umefika mahali pake!

Cheers!

Yasinta Ngonyani 1:07 pm  

Afadhali hata umeacha mwenzangu, maana hiyo shule ya baa hiyo kazi kwelikweli:-(

Simon Kitururu 4:40 am  

@Wote!:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP