Hamu ya KUGOMBANA!
>> Sunday, May 03, 2009
KATIKA maisha ukitaka USIGOMBANE NA MTU , ....
....gombana na KITU ili kutoa STIMU ili roho itulie.
Swali:
- AU?
BAADAYE BASI Kingunge!
Ngojea KOFFI OLOMIDE aseme- - Skol Longitima
Au tu BERES HAMMOND azungumzie uongo mtamu katika - Sweet LIES
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Simon! ni kweli hata kwenye jiwe piga tu ili hasira zako ziishe kuliko kugombana na mtu au anza kukimbia au tembea mwende mkali. Au weka mziki uupendao na sikiliza:-(
@Dada Yasinta: Si utani!
Post a Comment