Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Nakutakia Ijumaa njema NA wikiendi Mchelemchele!

>> Friday, May 08, 2009







Tutaonana jumatatu , MOLA au VIBWENGO wakipenda kama ndio uwaaminio!


Nakutakia kila la kheri na mafanikio angalau katika visaidiavyo upate choo!










Nakuacha na Burning Spear azungumzie UZOEFU HUU katika -THIS EXPERIENCE



Au tu Burnning Spear akumbushe - She is mine


Basi bwana ngojea turudi Africa LAGBAJA aseme-Never far away

7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:41 pm  

Ijumaa njema nawe:-( Naona umeshaanza umesahau kunipitia huyo mbwa vp wako au ndo unamtunza(mwangangilizi wake):-)

Simon Kitururu 4:02 pm  

Asante Yasinta! Huyu ni mbwa wa dina ya lanchi!Kanona kweli nikimbanika akiiva ntakukaribisha mezani:-)

Yasinta Ngonyani 6:36 pm  

Asante sana tayari nimeshashiba kula tu mwenyewe kwetu hatuli mbwa:-(

Simon Kitururu 7:09 pm  

Samahani lakini kambwa kenyewe kalikuwa kadogo kwahiyo kalishaisha.

Lakini SAMAKI NCHANGA kwa togwa a.k.a Panya wakuchoma bado wapo . Karibu!

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) 10:36 pm  

Wikiendi njema Mwanafalsafa!

Mzee wa Changamoto 5:40 am  

Dah!! Hatimaye nimeweza kuzipata plug ins zilizokuwa zikiniweka mbali na wanaMAWAZONI.
Sasa nipo na bado niponipo. Nadhani ni too late ku-catch hako ka-kitoweo.
Hakuna mbaya. Ntakabamba tena "next ijayo"
Blessings

Simon Kitururu 8:56 pm  

@Prof. Nzuzullima: Asante ingawa nimechelewa kuipokea salamu!
@Mzee wa changamoto: Karibu tena Mzee wa Changamoto!

Nashukuruni wote kwa kunitembelea hapa Kijiweni.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP