Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ukiamini, ''UONGO huwa ni UKWELI!'':-(

>> Thursday, May 21, 2009

Kama unaamini,...
.... kwako hilo uaminio ni UKWELI.

Halafu ETI labda unashangaa kwa nini binadamu wanauana,...
... wakati kila kona a.k.a chobisi uipigiayo chabo, KILA MTU ana KWELI YAKE .

Na ukikutana na aaminiye kweli yake ukakosea staili ya kumstua ajuacho si kweli,...
... anaweza kukurukia kichwa, kabla haja kukaba roba, huku akikupiga ngwala halafu ni mpaka baadaye akienda kuoga ndio atastukia naye kachubuka halafu chakusikitisha pamoja na yote hatastukia ''UKWELI YAKE bado ni UONGO!'':-(

Swali:

  • Unauhakika KWELI yako sio UONGO?

Inasemekana na huu asemao JF Kennedy na.... ni Ukweli...



Na inasemekana asemacho I Jahman Levi nacho kwa watu fulani ni kweli katika- I want to be Free...


Au tu mwanadada kwa jina Truth Hurts ft Rakim aondelee kunasa labda nao ni kweli katika -Addictive

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP