Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Matatizo ya kuficha NYEGE MSHINDO!

>> Wednesday, May 13, 2009

Kuna jinsi unavyojigundulisha kwa,....
..... KWA jinsi unavyojitahidi usigundulike!:-(

Na ni kweli,..
....Hamu ya bagia haifichiki ingawa unaweza kudhani unaificha hasa kama WEYE mtaalamu wa tabia nzuri, hujulikana kwa ujitahidivyo kuficha utamanivyo bagia wakati una ya bagia , NYEGE MSHINDO!:-(

Na maisha nishai kwakua yanaweza yakasababisha usifiwe kwa kuficha na sio kwa kutumbua kitumbua.

Na katika swala hili LABDA kusawazisha matibabu , TIBABU labda ni kutumbua na si kuficha hamu a.ka. NYEGE MSHINDO.
Swali:

  • Unauhakika namaanisha nini kwa kuropoka kauli bashasha a.k.a NYEGE MSHINDO?
  • Hivi unauhakika nyege mshindo ni nini?
  • Na usipojua ni nini, unauhakika hapa kwa tafsiri yako mheshimiwa kingunge situkani?


NA NI KWELI kuwa katika MATATIZO ya kuficha,....
..... nasikia hii TABIA HII ilisababisha mpaka kuna MWANIWANI hakuzaa.:-(

Na kwa kuficha pia nasikia kuna mtu a.k.a MWANIWANI FULANI, kafanikiwa na katunza mpaka cha kesho kwa kudhania kinamatumizi kesho.

Na ni kweli pia,...
.....udhaniacho ni cha kesho kinalika leo ukiwa na hamu na unahitaji kutibu nyege baruti a.k.a NYEGE MSHINDO..
DUH!


Swali:
  • Sasa unafikiri tutunze au tutumie wakati unajua nyege mshindo ni kishawishi?
  • Hivi unauhakika ni ujinga nikisema inawezekana kujisikiasikia unadhambidhambi ni nyege za kujisikiasikia una nyege a.k.a hamu za kimbingunimbinguni na yote ni kwa sababu kunaaliyekuambia kuna mbinguni ili uwe na cha kukusababisha uteseke kwa staili kwa kudhani kuna uliowazidi dhambidhambi?
NIMEACHA na kumbuka ni moja tu ya wazo MAWAZONI mheshimiwa KINGUNGE!

Ngojea tupate tena busara za -HOW TO TALK NIGGA..


Au tu DJ EYE MAN aachie She is mine RIDDIM..

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:01 pm  

Simon:-( Hapa kazi ipo! ngoja nikuache uendelee kuwaza

Simon Kitururu 7:55 am  

@Yasinta: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP